Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,346
Kuna mtu anashida kapata mtoto na mdada ambaye hawajaafikiana kuoana sasa huyo dada anapewa matumizi na huyo kaka na nikwa kila kitu.
Sasa huyo kaka ni dhehebu jingine na yeye ni Mkatoliki?
Sasa mama wamtoto kamwambia baba mtoto nataka nikambatize mtoto Kikatoliki nanimeshampa jina.
Shida ni hii hapa atambatizaje mtoto ilihali baba sio mkatoliki?
Msaada jamani.