Naombeni msaada...True story

Naombeni msaada...True story

Welcome to the illuminati ( the baphomet )

Tatizo lako litaisha please trust me......!!!!
 
Kijana nakushauri umuone sheikh wako atakusaidia.
 
Toka kwenye uislamu.

Ingia ukristo, hilo lijini litasagwa sagwa vibaya na Yesu na litatoka faster.

Ningejua unapoishi ningekuja kukwombea.

NB unapaswa uombewe na mtu asiye na dhambi kabisaaaaaaaa
Wewe hauna dhambi kabisa?
 
Pole ndg kwa mkasa huo,njia rahisi iliyobaki ama tiba yakuwaponya na shida hiyo ni wewe na mkeo kuamua kumfuata yesu Kristo yeye ndiye daktari Bingwa wa kila Jambo.
 
Ni juz tu ulikuwa unatafuta kaz,,ukidai umemaliza TIA af saiv unatuambia unaish PAKISTANI...daaah ndo maana cmuamini mtu JF
 
Back
Top Bottom