Naombeni msaada tafadhalini kwani hali ni mbaya

Mimi ni msihana wa miaka kadhaa, ninampenzi wangu, lkn huwa ukifika muda wa kupeana raha za dunia yeye huwa anataka hadi mara 8 wakati me uwezo wangu ni 2,3 sasa ni fanyeje, JE KUNAWATU WANAWEZA KWENDA MARA 8???

Mpigishe pu-nyeto meeeeeeen!!!!!
 
Mimi ni msihana wa miaka kadhaa, ninampenzi wangu, lkn huwa ukifika muda wa kupeana raha za dunia yeye huwa anataka hadi mara 8 wakati me uwezo wangu ni 2,3 sasa ni fanyeje, JE KUNAWATU WANAWEZA KWENDA MARA 8???

nafikiri nyinyi ni vijana hamjaoana hivyo mnazini tu, na kwasababu hamjaoana mnakutana mara chache hivyo kupelekea jamaa kukomaa sana cuz mpaka akupate tena itachukua muda lakini kwa sisi tulio ndani ya ndoa kwa miaka kadhaa sasa huwa ni 2 3 baada ya siku 3 au 4 cuz tupo nao kila siku, hivyo sababu kubwa inayompelekea huyo jamaa anenda round nyingi hivyo ni uchanga na ugeni ktk hilo gemu la kikubwa akizoea hatakua akikusumbua hivyo, so kuwa mvumilivu kidogo yatakwisha hayo.
 
jali afya yako fanya kadri ya uwezo wako ..kila jambo kwa kiasi.
 
Ahsante mkuu nitakuwa mvumilivu lkn sijui mwisho wake itakuwa lini manake dah! hadi huwa nasingizia naumwa na tumbo
 
usijali hayo yana mwisho na si ajabu miaka 3 au 4 ijayo ukaja hapa jukwaani tena na kuanza kulalamika jamaa hakupigi tena 3 au hivyo 8 kama awali kwasababu mtakua mmeshazoeana hivyo hamna mwenye jipya tena, hayo yatatokea endapo mna malengo yakuja kuishi pamoja kama mke na mme.
 
Back
Top Bottom