mkweli wa mambo
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 329
- 180
we!! umuuzie nani kimeo chako? sasa kama wewe umeiona slow ndo utakae muuzia ataiona faster.Wakuu nawasilimu sana na poleni na majukumu ya kila siku,
Naombeni msaada jamani laptop yangu ipo slow sana sijui ni kwanini, haijapita wiki mbili nimetoka kuweka window mpya, antvirus mpya tena ya mwaka mzima, nimeupdate kila kitu kinachotakiwa kuwa updated lakini bado ina mwendo wa kobe.
Specification zake ni nzuri ina RAM 4GB, Core i3 na processor pia iko fresh.
Sasa nipo kwenye giza sijui niifanyaje? nafikiria kuiuza ili ninunue yenye specification kubwa zaidi ya hapo, au kama kuna solution nyingine pllls naomba msaada wenu.
Duh...kazi kwelikweli..we!! umuuzie nani kimeo chako? sasa kama wewe umeiona slow ndo utakae muuzia ataiona faster.
Ngoja nikushauri,(1) kwa kuwa umesema uko kwenye giza, kwanza washa taa, kisha inawezekana hiyo lap yako sio slow ila wewe ndo uko faster zaidi.
(2) hujasema kuwa hiyo lap yako ni celeron au intel, pia hujasema umeweka window gani na antvirus gani pia, pia hujasema ni kitu gani ukifanya kwa hiyo lap yako ndo unaiona slow. pia hujasema kabla ya kuweka hiyo windows mpya ilikuwa ina behave ipi,.
we!! umuuzie nani kimeo chako? sasa kama wewe umeiona slow ndo utakae muuzia ataiona faster.
Ngoja nikushauri,(1) kwa kuwa umesema uko kwenye giza, kwanza washa taa, kisha inawezekana hiyo lap yako sio slow ila wewe ndo uko faster zaidi.
(2) hujasema kuwa hiyo lap yako ni celeron au intel, pia hujasema umeweka window gani na antvirus gani pia, pia hujasema ni kitu gani ukifanya kwa hiyo lap yako ndo unaiona slow. pia hujasema kabla ya kuweka hiyo windows mpya ilikuwa ina behave ipi,.
Mkuu kwanza laptop yangu sio kimeo ni machine ya ukweli,laptop yangu ni intel,nimeweka window 7 profesional,antivirus ni AVG, nikiizima halafu nikaja kuiwasha tena pale ndo inakuwa slow,yaan uwa naiwasha halafu naenda kuoga kabisaa nikija ndo inakuwa tayari kwa matumizi,kinachonikera zaidi baada ya nusu saa kuitumia inaanza kuganda ganda hadi kero..
NB: Nimeinunua miezi 7 iliyopita, wakati nanunua ilikuwa fasta sana namatatizo yote haya hayakuwepo,ila yalipoanza tu kuna wadau walinishauri nibadili window nikafanya kama nilivyoshauriwa lakini likabakia palepale.
kuna swali hukujibu, ilikuwa na windows gani before upgrade?
OK, Lets start. (1) Do you know how to check programs start when starting your computer? Disable all programs which are not necessary during booting up.
(2) Is there any rapidly change of temperature which is not normal?
(3) Make sure that only one antivirus is running in your computer.
Tuyaangalie haya machache kwanza.
nimeinunua ikiwa na window 7 pro na nikabadilisha kwa kuweka window 7 pro nyingine
1 .ilo la kudisable unnecessary program nalifanyaje? msaada tafadhali
2.temperature saivi inachemka sana tofauti na awali
3. antivirus niliyo install ni moja tu
Wakuu nawasilimu sana na poleni na majukumu ya kila siku,