Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,417
Nina mshkaji wangu..
Ni best sanaa, tulikutana ajirani serikalini...
Baada ya kuona maisha ya ajira HAYAENDI tuliamua kuacha kazi na kufanya yetu, Mimi niliamua kwanza kwenda shule na yeye alianza kufanya yake (kujiajiri)...
Sasa nilivyo maliza chuo na kuanza na Mimi misele nilimkuta yupo mbali na kwa rehema za Mungu nilimkuta ana Mali kiasi (ukilinganisha na tulivyokua ajirani)....
Maisha yalisonga akaoa..
Ila Tabuu inakuja hapa...
Ndoa yao inamiaka mitatu na shemeji (mkewe) kapeleka ombi mahakamani la Talaka, kwa taarifa chini ya carpet "X wake wa China (alienda kusoma) karudi, then anataka kuhamia kwa X"...
Na anataka Mali zotee wagawane "MPAKA ZILE ALIZOMKUTA NAZO MSHIKAJI""
Rafiki yangu ye anasema "WATAGAWANA ZILE WALIZOCHUMA KWENYE NDOA YAO" ila alizomkuta nazo kama mashamba (Zaidi ya eka 50), nyumba ya biashara na ana miti mingii kapanda Njombe HATAKI WAGAWANE ila shemeji KAKOMAA ANATAKA 50 - 50..
NIMELILETA KWENU MJARIBU KUMSAIDIA...
Mwenye kujua anipe hata SECTIONS na ARTICLES za LAW niweze KUMSAIDIA MSHIKAJI WANGU.
Yaani ni MY BEST FRIEND BALAA..
TUMETOKA MBALI, NAMUONA KABISA ANAPOTEA KWA STRESS
Bia hazipandi tena..
Kitimoto ndio kabisa hataki...
Zile outing za kwenda kula nyama kwa wamasai ukimletea NOWDAYS anahisi kama unamng'ong'a....
Mtu pekee anayeweza Kuongea nae kwasasa ni Mimi tu wengine wotee hataki...
Yaani mpaka baadhi ya biashara zake nimechukua ili NIZIOKOE...
Sasa AMBAO MLIPITIA HAYA au MNAJUA HAYA MAMBO, TAFADHALINI "NAOMBA MNIPE DIRECTION NIMUOKEA MY BEST BROTHER IN THE WORLD""
#ASANTE
#YNWA