Naombeni msaada, nimetapeliwa

Wajinga ndiyo waliwao

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Yaani unaibiwa kirahisi hivyo?
 
Siku zote ukiuanza mteremko kaa ukijua mbele kuna mlima., ogopa matepeli.
 
chadema wakapinga
 
Ushapigwa
bado hamini eti,,yani hata hakutaka kujiuliza je hao watu wamesajilia au vipi,ofice zao ni zipi nk
siku zote huwa na sema biashara za mtandaoni si za kuaminika kabisa.
tena ashukuru sana hakuwa na pesa nyingi angeshika kichwa nimejiuliza sana yani kwa hiyo pesa hata angekua na timiza ya airtel na kujiwekea akiba angeweza kupata mkopo ambao anaweza kulipa kidogokidogo bila ya manyanyaso
 
nimecheka sana eti ofisi ni kwajili ya wafanyakazi tuh hairuhusiwi kuingia kwa sababu za kiusalama

na bado ukawapa pesa ivi umelogwa!bank zinakua na pesa kiasi gani na bado watu wanaingia hukujiuliza hilo,maduka mangapi ya uwakala yanapesa wa watu wanaingia.

SIKU NYINGINE FUNGUA MACHO
 
Hahaha karibu mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…