Naombeni msaada nimetapeliwa

Usijali mkuu,hivi ndio ufumbuzi ndio unazidi kutafutwa hivyo. Usione watu wanacheka na nini,tayari watu wako kazini hivi. Usishangae hivi tayari ufumbuzi umeshapatikana
 
Huyo jamaa mwenye kitambi na miwani sura pekee inaonyesha kuwa ni tapeli ..
Ila mtoa mada ulipaswa ufunguke zaidi ili watu wakupe msaada zaidi.
 
Sasa hapo utamsaidiaje?

Hakuna maelezo yeypte zaidi ya picha.

-Gari hewa kauziwaje? Je hilo gari analo au hana? Hewa anamaanisha Bovu au?
-Kaibiwa sehemu gani? Dar au Mkoani?
-Nani alimuunganisha na hao matapeli? Alikutana nao online au?
-Kuna taratibu gani alizifuata za mauziano?

Yeye anasema story ni ndefu hawezi kuiandika basi ampigie simu mshana kisha mshana ataandika yote na watayaweka kwenye main post.
 
Hakuna aliyejifanya anajua ni namna tu na yeye alivyowasilisha mada. Isikupe shida hata hivyo, now ukute watu wako kazini.
Nimeamua kukaa kimya, Mkuu.. Yule ajifanyae anajua kumbe hajui ni MJINGA..
 
Ahahahhaaz...! Ndio aliepigwa au ndio kapiga?
 
Huyo mwenye kipara pia. Huyo mwenye kipara,kazi yake ni moja tu,ukishtuka kutapeliwa unajaa mikononi hapo,kazi inakuwa imeisha
Kabisa! Na Wamekuja na kibegi cha kuwekea pesa daah, mjini hapa
 
Ukiona mtu yeyote katapeliwa kiboya namna hii ujue kuna tamaa ilitangulia, lazima kuna kitu walimtamanisha.... inaweza kuwa bei chee au ndo zile unaambiwa oyaaa nimeokota bulungutu hili hapa njoo tugawane


Akiwa tayari kuelezea mkasa itasaidia wengine kujifunza, ni bora hata hivyo alikumbuka kupiga picha.... wangemkwapua na simu kabisa.
 
haswaaaaaaa.....
Angeleta maelezo ya jinsi alivyotapeliwa,
basi watu wange base huko...
Kaleta picha na masuala ya 'gari hewa'....
No way..
Watu wamebase kwenye picha na gari hewa...
Kinyume na hapo labda upige ramli..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…