The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 2,332
- 3,230
nenda polisi nimecheka kama mazuri vile gari hewa ndio likoje mkuuWanajf kwa kifupi nimetapeliwa na hawa watu hapo chini, wameniuzia gari hewa kwa yeyote anaewafahamu wahusika hapo chini naomba anifahamishe.
Ahahaaaaaa...!huyo mwenye miwani ukimcheki tuu usoni ana kesi ya kujibu..
Kitambi cha wizi, anaangalia kiwizi kakaa kiwizi wizi, hata miwani amevaa kihuni......
Hicho kitambi ni frexible.....
Akiwa kwenye meza ya makubaliano anakivimbishaa(huoni hata alivyokaa?)
Ukimshtua kina nyweaa
Ungemshtua tuu hapo hata kwa kupiga miguu chiniiii......
Ungeachiwa viti tuu hapo.......
Hata majii haachi.......
Anataka Mshana Jr amsaidie mambo ya ndumba!
Ni hizi toleo jipya mkuu. Ukiona kuna trafik mbele,unaiswitch inapaa juu kama ndege mkuuGari hewa ndio model ipi hiyo mkuu.... Au mimi nitakuwa mgeni hapa dar !?
Mkuu kitambi -dynamic....kinaendana na mazingira aliyopo muhusika - ha ha hahuyo mwenye miwani ukimcheki tuu usoni ana kesi ya kujibu..
Kitambi cha wizi, anaangalia kiwizi kakaa kiwizi wizi, hata miwani amevaa kihuni......
Hicho kitambi ni frexible.....
Akiwa kwenye meza ya makubaliano anakivimbishaa(huoni hata alivyokaa?)
Ukimshtua kina nyweaa
Ungemshtua tuu hapo hata kwa kupiga miguu chiniiii......
Ungeachiwa viti tuu hapo.......
Hata majii haachi.......
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....! Vingine vinini mkuu? Ahahaaaa. Firigisi kabisaSasa mkuu unamkomalia Mshana Jr ili akusadie nini, badala ukimbilie polisi uko bize JF.... na hao jamaa wamekuhurumia sana wangekufanya na vingine.
Pole sana kiongozi. Pesa kiasi gani mkuu? Umepigwa lini na haya maboya? Maeneo gani?Niliwahisi dk za mwisho wakati nimeishaweka pesa ndo maana nilichukua picha kwa sababu walianza kuomba omba pesa nje ya makubaliano
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa kweli kuna msaada loh[emoji28][emoji28][emoji28]Ni hizi toleo jipya mkuu. Ukiona kuna trafik mbele,unaiswitch inapaa juu kama ndege mkuu
Sura za nini mkuu?. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...! Miguu anaisambaza kiupigaji. Hayo maboya yakikukosa kukutaperi wako tayari hata kukukabaSura za kazi!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyo mwenye miwani ukimcheki tuu usoni ana kesi ya kujibu..
Kitambi cha wizi, anaangalia kiwizi kakaa kiwizi wizi, hata miwani amevaa kihuni......
Hicho kitambi ni frexible.....
Akiwa kwenye meza ya makubaliano anakivimbishaa(huoni hata alivyokaa?)
Ukimshtua kina nyweaa
Ungemshtua tuu hapo hata kwa kupiga miguu chiniiii......
Ungeachiwa viti tuu hapo.......
Hata majii haachi.......
Ha ha ha ha hakyamungu nmecheka sana hii comment dah!!Ni hizi toleo jipya mkuu. Ukiona kuna trafik mbele,unaiswitch inapaa juu kama ndege mkuu
Ndio mkuu,zimekuja toleo jipya. Ukifika mahala pana kizingiti unaiswitch inapaa hewani. Kama umewahi kusikia ”KABADIRI GEAR ANGANI”. ndio hizi gari mkuuMkuu gari hewa ikoje ???
Au Ni puto. Inaama Toyota wamekuja na new technology ya kuunda magari hewa kimya kimya
Unajua mkuu unapo address tatzo lako ndivyo watu wanavyolichukulia ukubwa tatzo lako, Imagine mtu ameweka picha then anaaandika nmetapeliwa gar hewa kamalza unataka watu wa JF waote ilikuaje kipind anatapeliwa?Watanzania ni watu ovyo sana, jamaa kaomba msaada, kwa yule ambae anaweza kumsaidia, sasa utakuta watu wengine wamemjibu kwa KUMKEJELI na kumuona mjinga muomba msaada..
Sasa kama mtu hawezi kutoa msaada, kwanini asikae kimya tu, kwanini aje na comments za kijinga??