Bwana bunazi Hawa jamaa kutokana na maelezo yake aliwapata kupatana. ComHumu JF tunawatahadharisha kila mara, na sio watoto wa LY ni watu wazima lkn utapeli acha watu wafunguke huwezi wazuia
Wengine ndio maana tunaangalia km wewe na tupite tu tusiwadhrau wenzetu
Juzijuzi nimeambulia matusi humuhumu JF tumewakumbusha wizi wa magari uliotokea kule Mtoni kwa Aziz Ally jamaa akalipata gari lililotapeliwa na Askari wenyewe kituo cha K
Nikaeleza nilivyotaka kuibiwa Kunduchi kwa Warioba
Bado mtu anaweka Gari na zake na simu yake UNASHINDWAJE kusearch wakati ukiingia TRA, Bima, Traffic utaiona hiyo Gari cha mwisho ni namba zake za simu kwani ndio registered na NIDA sasa vinapishana kwa hiyo huyo lazima atakuwa DALALI, lkn bado watu hawaelewi
Na madalali waliomo humu JF wa Magari wanakutishia eti kuna mama alichomew nyumba kwa kuharibu biashara hakutoa ulaji.
Ndio maana katokea mrangi na baadhi ya member wameshawatambua na Mleta Mada angeendelea kutupa Feedback Matapeli wangekimbia kwani kuingia JF ni bure
Halafu ni mijitu mizima kabisa man, linchi limejaa wajinga wajinga wengi sana.Watanzania ni watu ovyo sana, jamaa kaomba msaada, kwa yule ambae anaweza kumsaidia, sasa utakuta watu wengine wamemjibu kwa KUMKEJELI na kumuona mjinga muomba msaada..
Sasa kama mtu hawezi kutoa msaada, kwanini asikae kimya tu, kwanini aje na comments za kijinga??
Aaaaaaaaa,,,,,baiskeli je?Kwa hizo sura zao hao jamaa,hata biashara ya pikipiki siwezi kununua kwao
Mtu anaenda kutapeliwa Kwa mara nyingineDah hadi picha zao unazo, ulifanya jambo la maana mtafute mzee kandonga namba 0745342880...
Mahesabu tu ,hakuna loloteWalimtapeli marehem mama yangu.
tena pesa ya matibabu!
Sio watu wazuri kabisa waepuke.. sijui huwa wanatumia nini..lkn wana uwezo wa kukuzubaisha pia!
Pole yake bunazi kwani yupo humu kuanzia 2014 tunapowashtua Member sijui anakuwa wapiBwana bunazi Hawa jamaa kutokana na maelezo yake aliwapata kupatana. Com
Huko kwenye yard alipopelekwa walimpanga, kingine bwana bunazi jiji hili yeye alikuwa mgeni
Ila kwa speed anayoenda atawadaka
Mzee baba Ukwaju siku zote mjinga wakati wa kwenda tu wakati wa kurudi ushajua njia Ova
Sura ya kazi![emoji1][emoji1][emoji1]Huyo mwenye miwani duh, anaonekana tapeli Kwa muonekano tu,polee
Yaani ni zaidi ya mchomoa betri[emoji3] [emoji3]Sura ya kazi![emoji1][emoji1][emoji1]
Ni hatari sana inatupasa kuwa makini kwa sasa hali ni ngumu hadi matapeli wazidi kubuni mbingu nyingi zaidiYaani ukafanya biashara na sura kama hizoπ€£π€£π€£
Serious?
Kama huyo mwenye miwani ukimuangalia tu anaonekana tapeliππ
ππππhuyo mwenye miwani ukimcheki tuu usoni ana kesi ya kujibu..
Kitambi cha wizi,
anaangalia kiwizi,
kakaa kiwizi wizi,
hata miwani amevaa kihuni......
Hicho kitambi ni frexible.....
Akiwa kwenye meza ya makubaliano anakivimbishaa(huoni hata alivyokaa?)
Ukimshtua kina nyweaa
Ungemshtua tuu hapo hata kwa kupiga miguu chiniiii......
Ungeachiwa viti tuu hapo.......
Hata majii haachi.......
Usikute hata hayo maji kayatapeliii
Na coments za kijinga zinapata likes kama zote. Hiki ni kipimo kamili cha aina ya watu waliomo kwenye jamii.Watanzania ni watu ovyo sana, jamaa kaomba msaada, kwa yule ambae anaweza kumsaidia, sasa utakuta watu wengine wamemjibu kwa KUMKEJELI na kumuona mjinga muomba msaada..
Sasa kama mtu hawezi kutoa msaada, kwanini asikae kimya tu, kwanini aje na comments za kijinga??
Huyu mtu hafai kabisa na miguu ya wizi mambo ya kiwizi alivokaa kiwizwizi tu roho juu juu ya kiwizi tuπππππππππππ