Naombeni msaada nimechanganyikiwa

Waulize wachungaji wako hili swali 'Kila dini au dhehebu lina Mungu wake?

Mkuu;
Naomba niwajibie hao wachungaji swali hilo. Ndiyo kila dini au dhehebu lina Mungu wake. Hata siku moja, Allah hawezi kuwa Yehova Yahwe. Jua hivyo na uamini hivyo
 
Hiyo tafsiri ya mtu asyeamini ni ya uongo. Biblia haijasema mtu asiyeamini ni mwislam au mtu asiyempokea Yesu. Huo ni uongo!
Pia kifo cha msalaba ni laana biblia imesema!

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Maisha ni upendo umepata wa kukupenda olewa nae. Haya mambo ya dini Wachungaji wengi wapiga dili tu, watakuombea upate msukule ukutese mbeleni huko.[emoji111]



Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app
 
Mkuu;
Naomba niwajibie hao wachungaji swali hilo. Ndiyo kila dini au dhehebu lina Mungu wake. Hata siku moja, Allah hawezi kuwa Yehova Yahwe. Jua hivyo na uamini hivyo
Kwahiyo kuna Mungu zaidi ya mmoja?
 
Kuna ile ruka mkoj* ukanyage mav*

Kama mlokole inakuwaje hukujua hayo ya dini hadi wachungaji wako wakuambie hayo ndio ujiulize?

Kabla ulijisikiaje na kwanini sasa hivi umevurugwa na misimamo ya watu ambao pia ni binadamu kama wewe?

Ushauri wangu ni fata hisia zako, kama Mungu kakufikisha ulipo na ulokole ulionao hakuna mwingine wa kuingilia. Sali mwenyewe na muombe Mungu akuongoze katika mipango yako. Hata kwenye TV kuna kusali muhimu ni wewe na imani yako.

Pia waambie unataka mistari ya biblia inayopinga hayo, nasema kwa sababu hata wakristo wanaoana wengine hawajui hata sala ya bwana.

Hilo kanisa ni dhehebu lipi pia?
 

Naona umemwambia bila kupindisha, maana mimi nilishindwa shaaa.

Kwa sababu hakuna anayejua mtu mwingine yupoje kwa Mungu.

Na ndio maana maneno mengine wengine tunamezea tu...
 
Wewe ulifikiri kuokoka kwako hutalipa gharama(cost) yeyote??!

Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
Sikuwahi fikiria kuwa itanigharimu

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Naona unatokwa povu badala ya ushauri, kama vipi pita kimya sihitaji mapovu ila ushauri

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Ndo wale wanavalia suruali fupi na kufuga ndevu?
Tafuta wa dini yako over

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
braza leo umekuja kivingine
hahaha

uko vzuri.lakin
 
Dada yangu alidondoka hapo ! Mambo yakuendekeza Moyo kuliko facts. Maisha ya kiislam ili uyaweze lazima uukubali uislam! Bila kuukubali hutaweza kuendana nao.
Ni hivi dada alikacha familia akaslim sio kwamba aliukubali uislam ila alifanya ili asitengane na ampendaye! Akaolewa, Maisha yanaanza mama wa kiislam! Mziki hauchezeki, masharti hayabebeki, Shemeji mstaarabu ila ndio anasisitiza mkewe lazima aishi kiislam, Dada anajitahidi lakini kwa sababu sivyo alivyokuzwa ni mateso!
Hapo hakuongezewa mke -angezimia kabisa. Alivumilia lakini alishindwa.
Kama unadhani unaweza kuvaa viatu vya mke kwa maadili ya kiislam sawa. Kama huwezi wakati ni sasa ! Chukua hatua

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Ushauri Wangu Ni Hivi Kwa Sasa Hivi Hutaona Uzito Wa Kuwa Nae But Ukishaolewa Nae Hutapata Kile Ulichokitarajia Na Ukumbuke wewe Ndio Unaolewa Ukumbuke Hivi Imani Yake Inamruhusu Kuongeza Wanawake Kama wewe Wa 3 Mpaka 4 Fanya Maamuzi Sahihi

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Asante mkuu

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Asante mkuu

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Ungekuwa umeokoka usingekuja kuuliza upuuzi huu! Roho mtakatifu hayupo ndani mwako mpk utafute hekima ya watu uache hekima ya Mungu???

Chagua mwenyeww kati ya Yesu na Muhammad..!

Ebu acha ujinga kama hataki kuokoka sepa zako!
 
Kuna tofauti kati ya uislam na ukristo. Wewe kwa sasa imeokoka na unaenenda katika misingi ya imani ya kikristo, tufanye na mpenzio nae awe ameshika sana imani yake na kuenenda katika misingi ya imani yake sasa tukija kwenye ndoa, hii ndoa mtakubaliana ienende katika misingi ya imani ipi? Maana mtakua mwili mmoja wenye imani mbili tofauti.
Any way mshirikishe Mungu wewe kama wewe katika kusanya maamuzi .

Sent from my SM-G906S using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama wazazi hawana shida.. Huyo mchungaji inamuuma nin?

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
me mwenyewe nimeshangaa, kama wanaolewa wao hapo sawa, kikubwa wazazu wameridhia,walokole nao ukiwafatiliza sana.......

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…