Mim pia ni mlokole unaonaje kama ukaachana na uyo ukaambatana namim tufunge ndoaWasalaam wana JF, mimi binti Nina tarajia kuwa tabibu hivi karibuni. Ila Nina tatizo Fulani, Nina mchumba muislam na mimi ni mlokole, tunapendana sana lakini wachungaji wangu hawamtaki kabisaaa. Nachanganyikiwa wanadai nimuache, tutafanya maombi nitapata mlokole mwenzangu. Wananiambia biblia inasema "msifungiwe NIRA na MTU asiyeamini" na MTU asiyeamini ni yule ambaye hajampokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake na haamini kifo cha msalaba, ila wazazi wetu wote hawanashida. Sasa nifanyeje Niko njia panda. Kama nimekosea undishi mnisamehe sana naombeni mchango wenu
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Huu in ukweli mchunguUmechanganyikiwa siyo kwa sababu ya yaliyotokea kwenye huo uchumba, umechanganyika kwa sababu hutaki kuijua kweli!!...... ukiijua kweli nayo kweli itakuweka huru!!...... Kwa kifupi tu ni kwamba hayo yaliyokukuta ni gharama(cost) ya kuokoka!!...... labda nikukumbushe tu kuwa kila jambo zuri lina cost yake!!...... Hayo yaliyokukuta ndo cost yako ya kuokoka unayopasa kuilipa kwa hiyo tulia and bear it!!
Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
Wewe ulifikiri kuokoka kwako hutalipa gharama(cost) yeyote??!Huu in ukweli mchungu
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app