Naombeni msaada namna ya kupata ufadhili wa kwenda kusoma Canada

Chrispino Henry

Senior Member
Mar 29, 2017
107
66
Binafsi natamani kusoma ila ada kwangu ndio changamoto. Naombeni mnisaidie nyie wajuzi wa mambo ili nipate Scholarship ya kwenda kusoma. Me na diploma yenye GPA ya 3.1 hivyo naombeni sana ushauri wenu.
 
Mleta mada upeo wako bado mdogo sana.
Unataka kusomea nini?
Kwanini iwe Canada?
Ukishamaliza kusoma nini kitafuata?
Katikati ya hizi changamoto za kifedha na Corona, mfadhili anatokea wapi?
Katikati ya utiriri wa maelfu ya vijana wenye ndoto za kusoma zaidi na hawana ufadhili, kwanini ufadhiliwe wewe?
 
Kuna makosa mengi kwenye bandiko lako, Hali itayofanya ukose hata huyo sponsor
S
GPA ya 3.089 ndio nini? Ulilazwa useme tu ni 3.0 au 3.1 , kuweka three decimals maana yake kichwani upo mtupu

Sawa mkuu ila naomba usiangalie zaid nilipokosea embu nishauri nlichomaanisha. Kikubwa hakuna ambae hanielewi apa
 
Back
Top Bottom