Naombeni msaada namna ya kupata ufadhili wa kwenda kusoma Canada

Mimi G.P.A yangu ni 3.0 naanzaje nipate kusoma Thailand au ufilipino
Una level gani ya Elimu Mimi nilikuepo na GPA ya 3.2 ya undergraduate na nilipata schoolarship ya kwenda kusoma Thailand MSc. 2019 niligraduate katika chuo kimoja kikubwa na kikongwe MSc .
 
Why Canada? Unajua kuna nchi nyingine kuingia ni easy tu ila wengi tunafuata mkumbo.

VISA ya Canada itakuchukua miaka 6 kuipata au usipate kabisa au ukitane na matapeli humu wajifanye wanakufanyia mpango halafu walambe vilaki vyako kadhaa.
 
Doh kweli kaka me hapa nachukua ushauri tu.
 
Una level gani ya Elimu Mimi nilikuepo na GPA ya 3.2 ya undergraduate na nilipata schoolarship ya kwenda kusoma Thailand MSc. 2019 niligraduate katika chuo kimoja kikubwa na kikongwe MSc .

We uliifanikishaje hili mkuu
 
Back
Top Bottom