Town Hustler
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 277
- 367
- Thread starter
- #61
Sawa mkuuKama ulinunua chaja za kawaida jua inatumia ime dizainiwa kutumia umeme wa AC (TANESCO) kabla ya kuichomeka kwenye battery ilikua lazima ubadilishe umeme wa battery (DC) uwe umeme wa AC (umeme wa tanesco) ndio uweze kutumia kwenye chaja yako!!
Ulicho fanya ni sawa na kuchanganya maziwa na dawa ya malaria!! HAVIENDANI.
Betri la 33 AH litaweza kuwasha Tv kweli ?
Sent using Jamii Forums mobile app