GanaJr Senior Member Joined May 26, 2020 Posts 120 Reaction score 215 Dec 12, 2022 #1 Sijui nilibonyeza wapi hata sikumbuki. Nilijikuta nikitype neno lolote inatamka neno au nikiandika namba inatokea sauti kutaja hiyo namba, kitaalamu wanaita (TALKBACK). Imekuwa inanikera sana, nimejaribu sana kuiondoa ila nashindwa. Naombeni msaada wakuu Wangu.
Sijui nilibonyeza wapi hata sikumbuki. Nilijikuta nikitype neno lolote inatamka neno au nikiandika namba inatokea sauti kutaja hiyo namba, kitaalamu wanaita (TALKBACK). Imekuwa inanikera sana, nimejaribu sana kuiondoa ila nashindwa. Naombeni msaada wakuu Wangu.