Isaac1
Member
- Nov 12, 2018
- 79
- 70
Habari zenu ndugu zangu wana Jf natumai mko salama kabsa huku tukielekea kumalizia jumapili ya leo.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Najua kuwa Jf ni mujumuiko wa watu tofaut na wenye ujuzi tofauti hususani katika nyanja za tecnology.
Nachotaka kusaidiwa ni hiki:
Kuna kijana nilimuajiri kufanya biashara fulani hapa mjini amefanya ila matokeo yake alikimbia na mzigo pamoja na pesa nikalipoti polisi na kupata RB ila mpka sasa mtuhumiwa wangu hajakamatwa nikiuliza naambiwa nitakapomuona nimkamate sabb RB ninayo.
Basi ikanibidi nitumie akili za kuzaliwa kuanza kumtafuta katka mitandao ya kijamii na kubahatisha kumpata Fb na kupata namba zake za simu mbili ila nimeshindwa kujua kuwa yuko mkoa wa dar au nje ya dar maana nimejaribu kuangalia coment zake katika mitandao ya kijamii nimeshindwa kubaini alipo.
Ninachoomba kwa mtu yeyeto mwenye utalamu wa kumtrac mtu au kujua mahali alipo kwa kumtrac namba ya simu nitashukru sana pia. Sitamuacha hivi hivi nitampa shukrani kwa msaada wake.
Kwa anayeweza kunisaidia au kunipa ushauri zaidi naomba tuwasiliane PM.
Mbarikiwe sana.
Sent using Jamii Forums mobile app