Naombeni msaada kwa anayejua bei ya mashamba ya korosho huko Mtwara

Hi guys
Naombeni msaada kwa anayejua bei ya mashamba ya korosho huko mtwara na mchanganuo wa kilimo hicho kama vile gharama za uendeshaji
Inategemea na sehemu maana mtwara ni kubwa sana mkuu
Mfano Masasi heka moja unaweza kupata kwa laki na nusu na kuendelea,
Mimi nilibahatika kupata mwaka 2017, kuhusu mchanganuo kuna jamaa anaitwa Lumumba hua anatoa vitu adimu sana na wengi wetu hutumia haya madini
 
Hi guys
Naombeni msaada kwa anayejua bei ya mashamba ya korosho huko mtwara na mchanganuo wa kilimo hicho kama vile gharama za uendeshaji
Ingawa Lumumba atakuja kushare nawe ila nitakupa mnyumbuliko wangu mkuu
 
Sijaelewa swali! Shamba la mikorosho kwa maana lenye mikorosho ndani yake, au?! Kama jibu NDIYO, kwanini usinunue shamba tupu kisha upande mwenyewe mikorosho?! Ukinunua shamba la mikorosho kuna uwezekano mkubwa ukapata lenye ile mikorosho ya asili ambayo sidhani kama productivity yake inafanana na hii mikorosho ya sasa!
 
I mean shamba tupu mzee
Sijaelewa swali! Shamba la mikorosho kwa maana lenye mikorosho ndani yake, au?! Kama jibu NDIYO, kwanini usinunue shamba tupu kisha upande mwenyewe mikorosho?! Ukinunua shamba la mikorosho kuna uwezekano mku
 
Inategemea na sehemu maana mtwara ni kubwa sana mkuu
Mfano Masasi heka moja unaweza kupata kwa laki na nusu na kuendelea,
Mimi nilibahatika kupata mwaka 2017, kuhusu mchanganuo kuna jamaa anaitwa Lumumba hua anatoa vitu adimu sana na wengi wetu hutumia haya madini
Nimekusoma ndugu
 
Back
Top Bottom