Huyu dingi nae anazingua mkuu,we miaka 26 ng'ambo mfukoni una $1800 sasa huko alifata nini?na hapo akisema alipe nauli akifika bongo anaishia kuwa ombaomba.Mkuu, tulia tu huko huko na hizo dola buku na mianane zako, maisha yamebadilika sana sana mambo yanaenda kasi sana tangu 1992, wewe endelea kukata vitunguu na kubeba mabox huko, game ya TZ ni mziki mwingine.
Yani we toka 1992 mpaka leo....unataka kurudi na 1800usd huna adabu kabisa....Kwa ndugu zako.....
Kweli mpuuzi na zaidi ya mpuuzi, miaka 16 ughaibuni unasevu 4 milion? Halafu hiyo ndo afanye nauli. Labda awahi msimu wa korosho akaanze kubangua.
Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Le Mutuz na yeye alirudi Bongo akiwa na umri around na huo na hivi sasa nasikia yeye ndo King of Social Networks! Sasa wewe ukitua Bongo itabidi ufungue Instagram Account na ujiite Zee la Mastory Ya Mbele! Au nikukopeshe jina langu nililokuwa natumia miaka hiyo, enzi hizo kabla ya JF... Mr. Experience, na stori zangu za kuuza Tanzanite wakati hata Arusha kwenyewe sikujui!
Dah! Ujana raha sana!!
kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
😁😁😁😁😁😁😁😁👆Bora yako wewe mimi nilirudi na rasta na tattoo kutoka south
Maisha haya..!
Le Mutuz na yeye alirudi Bongo akiwa na umri around na huo na hivi sasa nasikia yeye ndo King of Social Networks! Sasa wewe ukitua Bongo itabidi ufungue Instagram Account na ujiite Zee la Mastory Ya Mbele! Au nikukopeshe jina langu nililokuwa natumia miaka hiyo, enzi hizo kabla ya JF... Mr. Experience, na stori zangu za kuuza Tanzanite wakati hata Arusha kwenyewe sikujui!
Dah! Ujana raha sana!!
Kwanza aliyemwambia sisi wabongo tunakuka nafaka ni Nani? Hata Kama tunakula ila umeonyesha dharau.naona ushaharibiwa na mapepo ya kizungu Sasa nakushauri ubaki huko huko hapa bongo utaishia kuwa mzigo wa taifa
Ni dharau na kiburi.Kwani mapepo ya kizungu yakoje mkuu?
🙂🙂
Ni dharau na kiburi.
Asante kwa kumshauri, ila huwezi kufudisha mbwa mzee mbinu mpya. Unaona akili zake zilivyo za kipuuzi? Eti anawaza kuja na usd 1800 kutanua bongo kwa maisha yake yoe atakayoishi. Unamwambia akae another 5 - 10 yrs wakati keshapiga 26 yrs hata kama angekuwa anasevu nauli tu ambayo hakuitumia kuja bongo kila mwaka kwa miaka 26 angekuwa na kiasi kikubwa. yawezekana huyu ali invest kwenye papuchi.Mkuu, pole sana ila usikate tamaa jipange na uendelee kupiga box kwa angalau miaka mingine 5 au 10.
Je umeoa na una familia?
Kama jibu ni ndio basi ongeza kazi hiyo miaka 10 kwa ajili ya pensheni yako ya uzeeni kwenye kamradi ukirudi TZ.
Pia kama una familia na nyumba haipo, basi chukua bima ya kama Euro 200000 hivi ili iwasaidie endapo utaaga dunia.
Watoto wa kiafika huko ughaibuni wakifika miaka 16 tu wanaanza kuwakoromea wazazi wao kwa kuwahoji kwamba kwanini wao ni maskini, hiyo inauma sana maana huwezi kuchapa viboko.
Kuwa wale wazazi ambao hutumia ile fedha ya watoto ya kila wiki badala ya kuwawekea akiba.
Na kama waishi kihalali huko majuu basi angalau utakuwa umewekeza kwenye mafao yao wazungu angalau kila wiki utakuwa na mshiko kidogo.
Mimi nimeishi huko kama wewe lakini nilipofika miaka 35 nikasoma alama za nyakati na sasa nashukuru Mungu namudu maisha ya pande zote.
Nilikuwa nikirudi bongo kuangalia wapi niweke kitega uchumi na imesaidia sana.
Ila hujachelewa piga box angalau miaka 5 kama si 10 ili upate chochote kamtaji kuweka kitega uchumi ambacho ukiamua kurudi kimoja utakuwa wasimamia wewe mwenyewe.
Kuwa twarudi nyumbani mara kwa mara kunasaidia sana kupata mawazo mbadala na yale ya kupiga boksi tuu kutwa kucha.
Asante kwa kumshauri, ila huwezi kufudisha mbwa mzee mbinu mpya. Unaona akili zake zilivyo za kipuuzi? Eti anawaza kuja na usd 1800 kutanua bongo kwa maisha yake yoe atakayoishi. Unamwambia akae another 5 - 10 yrs wakati keshapiga 26 yrs hata kama angekuwa anasevu nauli tu ambayo hakuitumia kuja bongo kila mwaka kwa miaka 26 angekuwa na kiasi kikubwa. yawezekana huyu ali invest kwenye papuchi.
Ni 1800 au 18'000 hujamalizia 0 ya mwisho mzee baba mbona kama 18'000 unaludi tu nyumbani na kujipanga mzee baba
Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Mkuu kwa umri huo bora ubaki hukohuko, maana utaishia kulima vibarua tu mbaya zaidi utakapowakuta uliowaacha wanamaisha mazuri ndio utakufa kabla ya siku zakoHabari wana jf.