Naombeni msaada kurudi bongo

Labda kuwa constructive mumsaidie biashara gani anaweza kufanya kwa kiwango hicho cha pesa?
 
Labda kuwa constructive mumsaidie biashara gani anaweza kufanya kwa kiwango hicho cha pesa?
Hakuna unachoweza kufanya bongo kwa hiyo 1800 kama hauna lolote.....


Na kwa maelezo ya mtoa mada anataka aishi anavyoishi ughaibuni.

Kama ni mimi ningeamua nifie hapo alipo na hata wanaonijua wqsijue kisa cha kufariki kwangu.
 
Nimeishia kucheka kama mazuri, $1800 real? Unataka uje kula bata bongo? Maana hizo ni bata unazotaka. Au umesahau sifuri moja mkuu? Nikupe taarifa tu hiyo pesa utapata kiwanja ambacho hakijapimwa pembezoni mwa mji.
 
Hakuna unachoweza kufanya bongo kwa hiyo 1800 kama hauna lolote.....


Na kwa maelezo ya mtoa mada anataka aishi anavyoishi ughaibuni.

Kama ni mimi ningeamua nifie hapo alipo na hata wanaonijua wqsijue kisa cha kufariki kwangu.
Hapo nauli inatosha?
 
Kama kurudi ulipaswa prior to 2015!
Kama utapata mwanamke wa kukuoa huku bongo hapo sawa! Unaweza kurudi!
 
Sawa unavyomshauri, lakini marafiki wangapi watambeba kwa 100% yeye pesa yake awekeze yote?! Kumbuka anayo $1800 tu!, anamahitaji ya nauli ya mizinguko yake na mambo yake binafsi. Ni ngumu kumpata, ingawa ndugu wanaweza kujaribu, kumu accomodate but won't be 100%. Kunagharama atazibeba mwenyewe. Hata chinga huja kutoka mtwara, bila ndugu Dar na wanafanikiwa, hata akilala nje kwa muda, he will make it, he should be able to handle difficulties like wengine.
 
Urudi sasa hivi kabla hiyo miaka haijafika hapo....Utaficha wapi sura yako?

Siku hizi nimekua nunda aibu sina tena lol,I guess ukikaa nje zaidi ya miaka mitatu au minne then ni bora ubaki huko huko,unakua umepoteza logistics AMA coordinates za bongo,Ila kumiss bongo kupo bwana wee..hakuna hela Ila watu wako peace,ughaibuni kuna hela Ila watu wako stressed,it’s your choice unataka nini lol...Daby wewe ulikaa baada ya muda gani?
 
Bongo Kuna peace flani kiukweli kabisa
 
Jamaa mpuuzi sana huyu....anajua bongo pamechoka....hiyo 4.1 Mil...watu wanagigidia bia....na ipo kwenye walet
 

Milioni 4.5 ni ndogo aisee JF sisi wasukuma mikokoteni mnatufanya tujione choka mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…