Uko sahihi mkuu na reference ni Dr. Shikaduuu pole sana.
mini nina uzoefu. mtu yeyote akiondoka kwao muda mrefu bila kuja kusalimia mara kwa mara huwa hawawi na akili nzuri ktk masuala ya jamii. mara nyingi mtu kama huyo utakuta kafiwa na watu wake kibao, pengine hata wazazi. lkn yeye haji tu. hiyo inapelekea kuwa mtu wa tofauti sana, mwingine unakuta hata familia hana. anaanza kuwa mzigo kwa wengine.
kwa habari ya huyu ndugu inabidi aendelee kukusanya nguvu. aone akifika miaka 55 atakuwa na kiasi gani. lkn kwa kiasi cha pesa alicho nacho ni kidogo. kwa wengine ni mshahara wao wa mwezi huo. isitoshe gharama za maisha ziko juu. endelea kudunduliza mpaka at lease 20+k $. hapo unaweza fanya kitu.
Yani USD 1800 Zinakupa jeuri ya kutamka Kwa majivuno kiasi cha kujigamba hivyo? Bora ubakie hukohuko mkuu, hiyo pesa haitoshi kabisa kufanya hayo unayo dream ! Utakuja kujuta bure
Mzee wangu tulia huko huko,sikushauri urudi bongo na pesa km hiyo,piga kazi huko,jipange taratibu,hiyo pesa uliyonayo kwa msafiri kama wewe itakuishia ndani ya wiki 2Sikati vitunguu wala maboxi. Naendesha mabasi ya mjini. Kama UDA ya zamani.
Bata wa ughaibuni ukiwa hauna future ni balaa!Hizo ndiyo umepata tangu 1992 duu unatania
Duh!.tabu yote ya nn? Si mrudi nyumbaniZa baridi,structured life,ni Lazima ufanye kazi,no way out,Lini utamiliki mortgage na kulipa bills lol
Rudi nyumbani kumenoga, njoo uendeshe mabasi ya mwendokasiSikati vitunguu wala maboxi. Naendesha mabasi ya mjini. Kama UDA ya zamani.
Mkuu nikushauri!! Kwanza kabisa weka mpango mkakati wa miaka hta 7, pia kwenye leisure baadhi zicancel ili uweze kusave hela ya kutoshaKwanini watu ambao hamjawahi hata kwenda Namibia au Sri Lanka ndiyo mnajibu sana tena kwa hasira? Nani amewaambia maisha ni kufanya saving tuu bila ya kuishi? Mbona wazungu wengi hawana savings kabisa bank?
My weekly revenue and expenditure hii hii hapa.
Mshahara 500
Nyumba (3 bedroom) -115
Income Tax and social security -80
Energy Bill -22
Kula vizuri, family of 4 (siyo kula grain na mahindi) -80
Pocket money watoto wawili -30
Nauli za shule watoto wawili -18
Leisure club (swimming, hunting, etc) watoto wawili -20
Car Insurance -30
Car Fuel -35
Home broadband and Cable TV package -6
Mobile phone (parents) -12
One weekend meal out -50
Saving 2
Hapo bado kwenda sinema
Bado kupeleka watoto Disney Land
Sasa watu ambao wamishindwa kusafiri hata kwenda Msumbiji wanaleta hasira bure humu.
Hello Thad, nakuona upo poa, usimdanganye huyo jamaa atakuja kukulaumu, hapa bongo hapafai kwa sasaRudi nyumbani kumenoga, njoo uendeshe mabasi ya mwendokasi
Hiyo hela itume kwenye namba hii 255 863 020 litatokea jina tea tootere.Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Sasa kama ka-make dola 1800 tu kwa miaka 26 aliyokaa ughaibuni si bora tu arudi bongo ambapo hata mpigadebe tu anadunduliza mpaka ananunua kiwanja na kujenga nyumba.Hello Thad, nakuona upo poa, usimdanganye huyo jamaa atakuja kukulaumu, hapa bongo hapafai kwa sasa
Uko sahihi mkuu na reference ni Dr. Shika
Pole sana kaka, Jinsi ya kuishi mjini utakaporudi toka ughaibuni, kama unaweza kufika bongo kwa hizo dola usd1800 tu bila kuweka nauli, unaweza kufanya hivi, dola 300 unapanga chumba kwa miezi 10, dola 500 unaweza kwenda kuungana na wadalali wa samaki feri, unaamka asubuhi unalangua samaki kwenye mnada unakomaa na wanunuzi wa reja reja, saa sita ushamaliza na umepata faida kama dola 80 hivi dola 20 weka akiba, 60 fanya matumizi mengine, ukifanya hivyo kwa miaka miwili, oa mama njasilia mali asiyeogopa shombo jiunge naye katika biashara hiyo , ndani ya miaka mitano utazoea tu unaweza kuchagua bisahra nyingine kwa kuwa tayari utakuwa ushapata marafiki. hiyo usd 1000 iweke benk fixed usiitoe kwa miaka miwili maana hiyo ndiyo itakulinda kama kikinuka unatambaa tena kama kawaHabari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Kuna kambi LA wazee Bukumbi wilayani misungwi mkoani.mwanza wanalala, wanakula "NJOO NYUMBANI KUMENOGA"Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza kusoma. Sasa nina miaka 51 na natamani kurudi bongo. Elimu yangu ni ya form 4 ya pugu secondari 1988. Benki nina dola 1800 tuu. Jee naweza kurudi bongo na kuishi comfortably? Yaani kunywa maziwa, kulala pazuri, kutotumia madaradara kwa usafiri, kula chakula nzuri (siyo kula nafaka).
Kuna fursa gani huko kwa wazee kama mimi?
Naombeni msaada wenu
Acha dharau mkuu...hao wenye hasira ndio wanakupa picha vizuri au ulitegemea Majibu ya upande mmoja???..mie naona ushukuru Mungu kwa watu km hao,afu una nini na nafaka? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hutaki kuzisikia [emoji23][emoji23][emoji23]