Naombeni msaada kurudi bongo

Acheni kumkatisha tamaa huyu mzee, aje Tanzania apambane kutafuta kwanza kadi ya chama cha Ccm na kuunga mkono juhudi, atapewa U DC, au aje ajipange agombee ubunge siasa za Tanzania zinalipa..... Na zitamtoa fasta aungane na kina Le Mutuz
 
Atajijuuu
 
Kabla ya kuchukua maamuzi ya kuja Tz, tafakari kwanza kwamba hiyo 51yrs unarudi kuanza kutafuta maisha huku bongo au kuendeleza maisha uliyonayo,,,,,,Tafakari usijefia Airport!
 
Ukila nafaka utakufa?
Huku matajiri hizo nafaka ndiyo chakula chao kikuu.
Halafu Tanzania usipokula wali,ugali utakula Nini!
Sikiliza old Pugu boy huna hela ya kuacha kula nafaka hiyo hela yako ukija nayo huku utapata nayo shida tu.

Mbona una hasira kali sana?
Hasira yote hii ni juu ya nini sasa?
You need a chillout pill bwana mdogo.
Wengine mumenipa ushauri murua asanteni sana. Na wale mumekasirika sana samahani sana.
 
Wewe unataka kudanganya watu
 
Huyo anawatania dereva anayeendesha Basi kama UDA analipwa £500 kwa wiki bado overtime. Na nyumba kodi 75 kwa wiki ya serikali na binafsi ni 100 asiwapotezee muda

Anatafuta kiki, hahahaha
 
M
Sikati vitunguu wala maboxi. Naendesha mabasi ya mjini. Kama UDA ya zamani.
Mkuu acha mawazo potofu, watu tunabeba box haijarishi kwa namna ipi, tuna mpango kwamba ikifika 30,000 USD ndo turudi Tanzania kusettle japo tumeshaweka vibanda tz,

Endelea kuendesha ma hekarusi ili angalau kwa miaka mingine 9 uwe na miaka 60 lakin kwa mwezi tunza angalau 500 USD ili kwa miezi 90 yaan miaka kama 8 uwe na 35,000 USD hapo utakuwa na kiburi kuenda bongo, hata Magufuli atakuwa kastaafu
 
Kabla ya kuchukua maamuzi ya kuja Tz, tafakari kwanza kwamba hiyo 51yrs unarudi kuanza kutafuta maisha huku bongo au kuendeleza maisha uliyonayo,,,,,,Tafakari usijefia Airport!
Kama kashindwa kusaka maisha huko aje afe tu huku.Si mda mrefu atatamani arudi Uko,huku kila kitu ni feki,kuanzia maisha mifumo yote nk.
 
Dar karibu sana Bongo hyo 1500 mbona ndogo. Ila bora urudi tu nyumbani uanze upya ungejuaga ungerudi ukiwa na nguvu. Sisi wenyewe twapambana kibishi bishi maisha yakaendelea.
Makengeza upo?
Miss you xoow much
 
Mkuu,usirudi Bongo komaa huko huko ikiwezekana lirudi jeneza na mwili wako lakn siyo kurudi ukiwa hai...Tz kwa hivi sasa ni jehanamu heri uwe mbwa kwenye nchi za wenzetu kuliko kuwa mwanadamu Tanzania
By the way,unamfaham John? siyo John Malecela huyo ndyo ametutoa Kanaani (kwenye nchi ya maziwa na asali) na kutupeleka utumwani (Misri)
Nakuomba usirudi vimba juu kwa juu!
 
Hiyo $1800 tayari ushalala ticket au nauli pia hujatoa?
 
Hongera kwa maamuzi mema,

Nashauri.

Jipe muda wa kujiweka sawa ili uweze kurudi home,wekeza pesa nyingi zaidi from usd1800 to 20,000
Tanzania imebadilika.
 
Nimekumbuka...nataka nikuchape swali jingine hiyo 1800usd...na nauli ni hapo hapo....na vp ukitua bongo ndio hiyo unatumia kupanga nyumba!!... kweli maisha mbinuko...
 
Mkuu, tulia tu huko huko na hizo dola buku na mianane zako, maisha yamebadilika sana sana mambo yanaenda kasi sana tangu 1992, wewe endelea kukata vitunguu na kubeba mabox huko, game ya TZ ni mziki mwingine.
Umewahi kuishi ughaibuni?
 
Pole sana mkuu....
Kwanza naomba nikupe Pole kwa kuchelewa kung'amua kwaamba una/ulipaswa urudi home ukingali mwenye nguvu. Na hiyo pesa ulioayo, ukweli ni kiduchu sana kiasi cha kwamba ukirudi Tz pesa itakwisha na utakufa haraka kwa stress na frustrations.
Mimi niliamua rasmi kurudi, Tz nikiwa na umri wa miaka 35. Na ukweli sikua na fedha taslimu, ingawa nilikua tayari nimenunua vifaa na baadhi ya vitu ambavyo leo vimenisaidia na ninakula kiulaini..... Ingawa pale mwanzo nilipata ugumu kidogo namna ya kuanza na kuzowea maisha ya kitaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…