Naombeni msaada jinsi ya kufanya drivers update za PC

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
6,385
Reaction score
7,335
Habari wakuu
Natumia window 7 proffesional service pack 1 build 7601,sasa kuna baadhi ya drivers zipo out of date na zinasababisha pc haifanyi kazi vizuri,
drivers zenyewe ni INTEL CHIPEST DEVICE,REALTEK ERTHENET CONTROLLER, NA REALTEK CARD READER DRIVERS.

Naombeni msaada maana sijui jinsi ya ku-update hizo drivers na sijui nitazipataje, au kama upatikanaji wake ni finyu nisaidieni version ya window 7 ili niinstall kwe pc yangu maana ni shiiiida.aina ya laptop ninayotumia ni gateway.

Asanteni.
 
Fuata hatua hizi
  • Download D.agent hapa[file size 1.02Mb: http://goo.gl/eJFSj
  • Kisha fuata steps zilizopo kwenye hii picha.[Inatakiwa uwe connected kwa internet]
 
nimeshamaliza process ya kurun as adminstrator ila nikijaribu kuifungua ndio inabring error message
 
nimeshamaliza process ya kurun as adminstrator ila nikijaribu kuifungua ndio inabring error message
  • Program huwa ina run in background, na ikimaliza scanning yenyewe huwa inafungua browser mfano IE na kukupa list ya drivers zinazotakiwa ku update.
 
Alternative:
 
Last edited by a moderator:
Mwl.RCT na Mtende, Nimejaribu kutumia hiyo driverscanner 2014 kwasababu nami kuna baadhi ya drivers hazipo active kwenye laptop yangu kama vile; Ethernet, Network,SM Bus na Universal Serial Bus (USB) Controllers lakini inaniletea ujumbe ufuatao, "DriverScanner is unable to perform this task as it cannot connect to the Uniblue server. Please check your Internet connection, proxy settings and firewall". Mbona nipo connected to the internet na proxy settings nimeset, tatizo lipo wapi? Naomba mnisaidie hapo.
 
Ufumbuzi: Tumia direct internet na usitumie internet ile yetu ya proxy- port 6055 [hapa bilashaka umenielewa]. Utafanikiwa kufanya update ya drivers zako.
Feedback pls.
 
SpeedUpMyPC 2014
Keys
|>> SP-RHG5F-VWM2W-SYTG4-JPK38-PHYGJ-AL5C6
| Karibu
Ahsante Mkuu!nimefanikiwa ila kuna ile suplement yake "speed up my pc" nimeidownload je mkuu unazo key zake uendeleze wema wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…