Thesnooperman
Member
- Jul 3, 2013
- 57
- 6
Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 22,ninaishi dar es salaam,ukweli nimemaliza form6 mwaka jana na kufaulu vizuri na kuwa na vigezo vya kujiunga na chuo kikuu lakini nimeshindwa kwa sababu sikuwa na pesa za kutosha kulipia ada iliyobakia hapo shuleni.Na ndo imepelekea mpka sasa sijajuchukua vyeti vyangu vya form6.Hi imekuja mara baada ya mama yangu kufariki mwaka 2011 na ndo pekee niliyekuwa namtegemea kwa kila kitu pamoja na kunilipia ada.Sasa tokea afariki mambo yang yamekuwa magumu sana.Wanajf naombeni msaada wa kupata kazi hapa dar ambayo itanisaidia kutatua matatizo yangu.A U HATA KAMA KUNA MFADHILI ATAJITOLEA KUNIFADHILI KTK MASOMO YANGU.NATUMAINI MTANISAIDIA