Naombeni msaada wa kazi

bunyebunye

JF-Expert Member
Apr 12, 2013
530
676
Heshima kwenu wakuu.
Mimi ni kijana wa kiume, umri wangu miaka 29, elimu yangu ni shahada ya kwanza ya biashara (B COM) ninaishi Dar.
Tangu nimalize chuo miaka minne (4) iliyopita, naona zamu yangu ya kupata kazi haijafika japokuwa nimekua nikipata kazi za mda mbalimbali zilizo niwezesha kulipia pango la kuishi na kujikumu kimaisha kwa ujumla.
Sasa ni miezi mitano sijapata hata hizo kazi za mda, naona baada ya kukomaa hapa mjini kwa miaka minne sasa mda wa kurejea kijijini umewadia kwani kodi ya pango yenyewe imeelekea ukingoni.
Naombeni msaada wa mawazo na kazi, nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote Tanzania, waweza kuwasiliana nami kwa simu namba 0676869180 au 0767772207.
Nawasilisha kwenu wakuu
 
Nenda makampuni madogomadogo me Nimesoma IT nilianza kama Driver wa kampuni baada ya kusota sana kukosa Job mpaka nkaja kupata kaz Yangu ya IT
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom