Naombeni Msaada Jamani Foxit Reader Itanihamisha Mjini

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
1,505
Reaction score
649
Hii kitu nilikuwa naitumia kipindi cha nyuma lakini sasa hii version ya 5...... Inaniboa sana pale ninapofungua PDF files mouse pointer inafreeze mpaka nisubirie kwanza sasa sijui shida ni kwangu tu au hata wengine.
 
Ukiona tatizo linazidi rudi kwa mkongwe adobe reader, chukua ver 11
 
Hii kitu nilikuwa naitumia kipindi cha nyuma lakini sasa hii version ya 5...... Inaniboa sana pale ninapofungua PDF files mouse pointer inafreeze mpaka nisubirie kwanza sasa sijui shida ni kwangu tu au hata wengine.

itoe, download ingine, mimi nnatumia full version ya foxit collection ambayo ina reader, pdf creator na zingine, hazijawahi kunisumbua hata mara moja

Fadhili Paulo, mi siipendi adobe reader inakula space kubwa na memory pia huwezi kutengeneza pdf moja kwa moja,

wakati foxit ni ndogo kama mb5 tu na ina kazi kibao
 
Last edited by a moderator:
Upo sahihi mkuu. Tusaidie hiyo full version exe basi.

 
Ndio maana hata mimi naing'ang'ania sababu ya space ndogo na pia features zake ni nzuri
 
Ahsante mkuu net likipendeza ntajaribu sababu niko kwenye gprs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…