Ahsante sana naomba nijaribu kufanya hivyo plz naomba usichoke kunijibu pale nitakaposhindwa baadhi ya vipengeleNenda setting then accounts then Google tap to remove Google account then nenda kwa android market open wakihitaji email jaza na fata hatua zingine watakayo kwambia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana kwa ushauri,kusema kweli nimekuwa nikutumia zaidi simu za tecno ila sasa hivi natumia samsung,tatizo hii simu ina hiyo android moja ambayo inagoma kudispaly informations,upande wa youtube inafanya kazi vizuri,nashindwa kupata apps za instagram,whatsapp na zinginezokwanini unatumia android market? upgrade njoo playstore, simu yako ina android ngapi?
watakuwa wamekuuzia samsung ya zamani yenye android chinia ya 2.3 maana kipindi hicho ndio playstore ilikuwa inaitwa android market na apps zimesitisha support kwenye android hio.Ahsante sana kwa ushauri,kusema kweli nimekuwa nikutumia zaidi simu za tecno ila sasa hivi natumia samsung,tatizo hii simu ina hiyo android moja ambayo inagoma kudispaly informations,upande wa youtube inafanya kazi vizuri,nashindwa kupata apps za instagram,whatsapp na zinginezo
kusema tu unatumia samsung hiyo haitoshi ungesema na model yake,android version ikiwezekana na screenshot ilikurahisisha kupata jibuNatumia simu ya samsung,tatizo ni kwamba android market haifunguki,ina load kisha inaandika server error.Naombeni msaada wenu nimejaribu kurestore lakini tatizo bado
Ahsanteni
Hicho kisamsung ni GT-19000,tatizo lipo kwenye hiyo market tu ila hiyo simu ina app ya samsung app ambapo inauwezo wa kussuport baadhi ya app na kuweza kufanya installation kama kawaidawatakuwa wamekuuzia samsung ya zamani yenye android chinia ya 2.3 maana kipindi hicho ndio playstore ilikuwa inaitwa android market na apps zimesitisha support kwenye android hio.