Naombeni mnisaidie

J627204

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
268
Reaction score
99
Mwenye kujua namna ya kuweka mfumo ukipoteza simu uweze kujua nani anaitumia mm nina Huawei natanguliza shukrani kwa majibu yenu
 
Mwenye kujua namna ya kuweka mfumo ukipoteza simu uweze kujua nani anaitumia mm nina Huawei natanguliza shukrani kwa majibu yenu

Huawei zipo nyingi mkuu,. Tuambie specification zake zikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…