Naombeni mnisaidie pilipili mboga ni zipi

Furahatuu

Senior Member
Apr 11, 2013
115
40
Wana jf chef naombeni mnijuze pilipili mboga ni zipi nimeona huku nikadhani ni hoho sasa sijui kama nimepatia
 
Kiswahili tunatofautiana lakin nahisi hoo na pilipili mboga ni same

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
asante farkhina nimekupenda kwa jinsi unavyotupa elimu ya mapishi mbalimbali Mungu akubariki. Jana nimepika bagia za dengu zikatoka vizuri sana. Ila natamani kupika ile vegetable soup ila hizo content zake hata sizifahamu kama figili mwitu zinapatikana wapi.
 
Ahsante dear....kwa kweli sifaham huko wapi unaweza pata figili mwitu wanaofaham watakueleza usijali

Back
Top Bottom