Naombeni mnisaidie laptop

Naombeni mnisaidie laptop

Aisatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
784
Reaction score
337
Habar wakuu
Mwenye kujua nin tatizo laptop inapoandika
Non system disk or disk error
Replace and strike any key when ready
 
Habar wakuu
Mwenye kujua nin tatizo laptop inapoandika
Non system disk or disk error
Replace and strike any key when ready
Kwanza hakikisha wakati ina boot hakuna flash / mobile disk iliyochomekwa!!!! Then rudi hapa.
 
Back
Top Bottom