Naombeni mnisaidie jamani

Naombeni mnisaidie jamani

ney kush

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2012
Posts
1,424
Reaction score
958
Habari... Naomba kuuliza hivi inawezekanaje mtu anasoma msg zote zinazoingia katika simu yako afu ye anasoma kwenye simu yake hizo msg..... Mfano. we una simu yako msg zote zinazoingia kwenye simu yako me nazipata kwenye cm yangu pia bila we kujua....., swali je hii kitu inawezekana maana nimeshuhudia jamaa zangu wawili yamewatokea na kama inawezekana tupeane ujuzi ni hayo tu.
 
mmmh kutiana pressure huko ndugu yangu!!! hii maada imekaa ki MMU..
 
mmmh kutiana pressure huko ndugu yangu!!! hii maada imekaa ki MMU..

Yani kuna washkaji zangu wawili washaharibu ndoa kisa hii kitu yani wife wake sijui kafanya utundu gani anapata msg za jamaa lakini hajagusa cm ya jamaa
 
Habari... Naomba kuuliza hivi inawezekanaje mtu anasoma msg zote zinazoingia katika simu yako afu ye anasoma kwenye simu yake hizo msg..... Mfano. we una simu yako msg zote zinazoingia kwenye simu yako me nazipata kwenye cm yangu pia bila we kujua....., swali je hii kitu inawezekana maana nimeshuhudia jamaa zangu wawili yamewatokea na kama inawezekana tupeane ujuzi ni hayo tu.

Haiwezekani, kama imetokea basi kampuni ya simu unayo tumia imevujisha siri za mteja nenda haraka TCRA ukawashtaki uvune mamilioni
 
Yani kuna washkaji zangu wawili washaharibu ndoa kisa hii kitu yani wife wake sijui kafanya utundu gani anapata msg za jamaa lakini hajagusa cm ya jamaa

Huyo kazipata kwenye kampuni ya simu
 
kaka inawezekana..kwa ninavyojua kwasasa hii kitu inawezekana na siyo mpaka kampuni ya simu ihusike.. Kuna application za kuspy zinatumika...hizi applications nyingi zinatumia bluetooth kama njia ya kupata data.
 
tunazipataje.? Hzo app'
 
[FONT=Verdana, sans-serif]Kuna application flan una install kwenye simu yako then unachukua simu ya nayetaka kum spy unapokea settings kwa Bluetooth I think then after that u can read messages and know the location of that phone any time... ila ni kwa baadhi ya simu sana sana iPhone 4 na kuendelea [/FONT]
 
Hey guys, nimeshawah kuskia hiyo kitu, but sio kwa simu zote, mostly ni kwa smart phones sio nokia toach :lol:,
kuna article nilikuwa nasoma, here sis a part of that artice with their respective links,

Here are two professional sms hacking tools that are listed as the top 2 best seller. These two programs for sms hack are compatible with most mobile phones, like iphone, blackberry, Android phones, nokia, sumsang, HTC, motorola, Apple iPad and more. They works fine with both symbian and windows mobile OS.
One is Mobile Spy, it is an easy-to-use sms hacking software with affordable price. It can help hack into sms of both sides, phone calls, gps location, website usage, even email logs. Another one is SpyGold, it includes all the features of Mobile Spy, and it also has the amazing feature to "Listen to live phone calls" and "Listen to phone surroundings". You can choose the one which best suits your needs between the two well-received sms text message hacking software.
Click Here to DownloadMobile Spy
Click Here to Download Spy Phone GOLD

binafsi sijawah kuzitumia so I can't guarantee if they are working or not.
 
Habari... Naomba kuuliza hivi inawezekanaje mtu anasoma msg zote zinazoingia katika simu yako afu ye anasoma kwenye simu yake hizo msg..... Mfano. we una simu yako msg zote zinazoingia kwenye simu yako me nazipata kwenye cm yangu pia bila we kujua....., swali je hii kitu inawezekana maana nimeshuhudia jamaa zangu wawili yamewatokea na kama inawezekana tupeane ujuzi ni hayo tu.

POSSIBLE BUT kwa kutumia bluetooth, so it means inawezekana only ukiwa karibu na mwenye simu basi. and it only applicable to smart phones
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom