Fahari ya kusini
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 427
- 1,668
Wakuu naombeni mnisaidie application yoyote ile ambayo naweza kudownload movies maana kuna movie au tamthliya naitafuta inaitwa orphan of a nation so nataka niidownload aisee
Wewe secretarybird au umeiba avatar yake ?OnStream
Hapana mkuu sio mimi, unaposema nimeiba unamaanisha ana haki miliki nayo?, anyway hii avatar nimeanza kuitumia inakaribia nusu mwaka.Wewe secretarybird au umeiba avatar yake ?
Movie box ndio nzuri sanaMoviebox au Onstream
Ndio Ina kila kituMovie box ndio nzuri sana
Hapa JF watu mara nyingine wanajulikana kutokana na uniqueness za Avatar zao muda mwingine mtu hasomi jina ila akiona avatar anajua mtu Fulani , mfano Mimi miaka karibia 9 tokea nijiunge Jf avatar yangu niliyoitumia sana ni ya huyo mwamba pichani Kuna mtu akaanza kutumia na yeye watu wakadhani ndio Mimi , na wapo wengine wengi wanajulikana kwa Avatar zao imekuwa kama ndio identify Fulani.Hapana mkuu sio mimi, unaposema nimeiba unamaanisha ana haki miliki nayo?, anyway hii avatar nimeanza kuitumia inakaribia nusu mwaka.
And SplayerOnStream
1. Movie boxWakuu naombeni mnisaidie application yoyote ile ambayo naweza kudownload movies maana kuna movie au tamthliya naitafuta inaitwa orphan of a nation so nataka niidownload aisee
Ina subtitle au unaweza kupata movie kwa mb ndogoYestube bonge la app.