Naombeni mnipe taarifa juu ya hili

Naombeni mnipe taarifa juu ya hili

Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
3,422
Reaction score
5,596
Habari wakuu,

Eh bhana jana nlikuwa maeneo flani ya migomigo nikaona wale mawakala wa startimes wakiwa kwenye fuso wanapromote king'amuzi chao kipya kwa stunt ya "BUNDESLIGA".

Mmoja wao alikuja nacho nikawa namuhoji kwa maswali kadhaa akafikia kuniambia bei yake ni 34,000/= na kina support t.v, mbili,kina offer ya miezi 7 na vitu kama hivyo.

Sasa kiu yangu kubwa ni kutaka kujua kama je zile local channels zitakuwepo baada ya hio offer kuisha au nitalazimika kuanza kuzilipia tena kila mwezi?

Niko na hela mkononi nataka nikakitafute ila naomba mnijuze kwa wale wenye taarifa juu ya local channels
 
Mimi sijakuelewa kitu kimoja,kwani ulisahau kumuuliza huyo wakala ama hukutaka kumuamini?
 
Nakushauri chukua karatasi andika maswali yooote alafu chukua pesa yako nenda ukatafute ukifika wanapouza hicho king'amuzi toa karatasi yako ya maswali yote anza kuwauliza. Ukiridhika na majibu yao ndio ufanye uamuzi wa kununua au la
 
Back
Top Bottom