Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,422
- 5,595
Habari wakuu,
Eh bhana jana nlikuwa maeneo flani ya migomigo nikaona wale mawakala wa startimes wakiwa kwenye fuso wanapromote king'amuzi chao kipya kwa stunt ya "BUNDESLIGA".
Mmoja wao alikuja nacho nikawa namuhoji kwa maswali kadhaa akafikia kuniambia bei yake ni 34,000/= na kina support t.v, mbili, kina offer ya miezi 7 na vitu kama hivyo.
Sasa kiu yangu kubwa ni kutaka kujua kama je zile local channels zitakuwepo baada ya hio offer kuisha au nitalazimika kuanza kuzilipia tena kila mwezi?
Niko na hela mkononi nataka nikakitafute ila naomba mnijuze kwa wale wenye taarifa juu ya local channels.
Mwenye no. ya customer care wa startimes pia aiweke itakuwa msaada zaidi.