Naombeni mnipe ridhaa ya kujiunga nanyi wana jf.

Kima mdogo

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
303
46
Nimevutiwa sana na michango ya wana jf katika mambo mengi sana hasa katika siasa. MIMI NI MTANZANIA,MUISLAMU NA MWANACHAMA HAI WA CDM. NAOMBENI MNIPOKEE.
 

Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,533
13,441
Nimevujiwa sana na michango ya wana jf katika mambo mengi sana hasa katika siasa. MIMI NI MTANZANIA,MUISLAMU NA MWANACHAMA HAI WA CDM. NAOMBENI MNIPOKEE.
<br />
<br />

Karibu sana, ila JF haina itikadi ya chama chochote wala dini yoyote! Karibu tujenge nchi yetu!
 

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
13,124
12,653
teh teh, jina lako lina utata best! Mfaano mtu akikwambia wewe kima sisi hapa tumekutana watu wa vyama tofauti tofauti usije feel bad. Krb JF best where we dare to talk openly!
 

Kima mdogo

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
303
46
teh teh, jina lako lina utata best! Mfaano mtu akikwambia wewe kima sisi hapa tumekutana watu wa vyama tofauti tofauti usije feel bad. Krb JF best where we dare to talk openly!
<br /> <br / ah mbona kuwa vyama tofauti ni kawaida sn,mbona marehemu baba alikua amekunywa maji ya bendera ya kijani(ccm) mama cuf, dada udp, kaka tlp, dogo yy ni mweka hazina wa dp, mm cdm na tunapika na kula meza 1.
 

Dat

New Member
Sep 19, 2011
1
0
Nimevutiwa sana na michango na mawazo yenu yote, naomben mnipokee nijumuike nanyi
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom