Cjuimapenzi
Member
- Apr 13, 2014
- 24
- 3
jaman nina miaka 30 cha ajabu hata cjui kumtongoza mwanamke. maana nimechoka kutongozewa! naomba kwa anayejua hako kaujuzi kakutongoza anifundishe toka mwanzo unapomkuta mwanamke unaanzaje mpaka unapomalizia!

Hivi, katika Biblia wazazi wa Mary Magdalene walikuwa kina nani?
Hawajatajwa!
Hivi, katika Biblia wazazi wa Mary Magdalene walikuwa kina nani?
Vaa kanga, ukitongozwa chukua ujuzi hapo. NB usikubali kuliwa
jaman nina miaka 30 cha ajabu hata cjui kumtongoza mwanamke. maana nimechoka kutongozewa! naomba kwa anayejua hako kaujuzi kakutongoza anifundishe toka mwanzo unapomkuta mwanamke unaanzaje mpaka unapomalizia!
jaman nina miaka 30 cha ajabu hata cjui kumtongoza mwanamke. maana nimechoka kutongozewa! naomba kwa anayejua hako kaujuzi kakutongoza anifundishe toka mwanzo unapomkuta mwanamke unaanzaje mpaka unapomalizia!
Dah. Ila nashkuru Mkuu.
Ni kifungu kipi kinakupaga nguvu wakati mambo hayaendi?
Yeremia 33:3
niite nami nitakuitikia na kukuonyesha mambo makuu na makubwa usiyoyaweza hapo napata faraja kuwa zipo peke angu