Naombeni mnifundishe kumtongoza mwanamke

Naombeni mnifundishe kumtongoza mwanamke

Simple tu unaanza kumbambia naomba ile kitu inayommeza mwezie asipo kubali ♥♥♥♥
 
we muite then una muonyesha dudu tu akilipenda ndio kakupenda!
 
jaman nina miaka 30 cha ajabu hata cjui kumtongoza mwanamke. maana nimechoka kutongozewa! naomba kwa anayejua hako kaujuzi kakutongoza anifundishe toka mwanzo unapomkuta mwanamke unaanzaje mpaka unapomalizia!

Kha....!!! Hivi kuna darasa kweli la kutongoza?
 
Aaaaaa!!mbona cmpo sana mkuu..we fika kwa demu anza ivi..mambo vp?kosa ajibu..poa..tayari kakubal beba kale
 
mademu wengine pesa yako tu, na wengine mpaka wapigwe mitama ka mbeya.
 
Mbona nilishaleta mada ndefu sana ikahadiliwa na jamaa wengi kama wewe ambao wanajikuta wanachoka hata hawajamfikia wanemtongoza walinipa asante ,maana walifanikiwa ,angali labda nikumegee tu kidogo,tabia za wanawake huwaga hawaendi mbali sana katika mihangaiko yao na hiyo itakusaidia wewe kwa yule uliemdondokea kwanza kusoma tabia yake,hapa sizungumzii wale ambao utakuna nao kwenye vilabu vya mbege ,apana nazungumzia wale ambao pengine amekupitia na ukahitaji kuwa nae ,muhimuni kuanza mazoea na hapa panataka au panahitaji ueledi mzuri sana ,pia jaribu utakavyoweza ili upate kuangaliana nae uso kwa uso na ufanikishe eye contact ,macho yakiangaliana huwa yanazungumza ,utaweza kutafsiri kivyako ,urahisi ni kujifanya umepotea njia ,na kama ulishamfatilia safari zake kama nilivyo andika hapo mwanzo ,utamuambia unatafuta njia au duka fulani ,ukweli ni kule aendako na kama anaweza kukufikisha ,bila ya shaka atakusaidia kukufikisha.

Katika muongozano jaribu kusifia kitu ,au kushangaa kitu ,yani hata ukiona paka ,au kuku au nyumba basi unaweza kuanza hapohapo ,kwa mfano nilikuwa na paka wangu kama yule akagongwa na gari akafa ,nililia kwani nikimpenda sana sana,..utasikiliza kama atakujibu au atabakia kimya ,kama ni kimya ,muulize wewe unapenda paka ,,yote hayo ni kutafuta maingiliano na wanawake wanapenda story sana ,usirefushe sana mazungumzo yako,na ikiwa na yeye atakuuliza jaribu kufupisha jawabu.
 
Miaka thelathini bado hujui kutongoza, hili lishakuwa janga
 
pochi na atm card na m pesa, tigo pesa na airtel money ndo zafanya kazi. wewe husemi kitu kazi yako ni kugegeda tu. angalizo RIP iko karibu na wewe
 
Ila nikukusaidia zaidi ,siku hizi wamejaa tele kama samaki kwenye bahari ,hakuhitajii kutongoza wala hela inategemea msimu tu ,utawapata bure ,si unajua siku za vibuwa ukiwasha taa tu wanakuja juu unawachota kwa chungio maalum linaitwa senga, ila katika gurupu la mamba na kenge wamo kwa maana waaathirika,take care.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom