Naombeni mnieleweshe wapendwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni mnieleweshe wapendwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by cheusimangala, Aug 27, 2010.

 1. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  eti jamani mimi nina rafiki yangu wa kiume(wa kawaida sio laaziz,mpenzi),huyu rafiki yangu amekuwa akinichanganya kidogo tunapoandikiana sms au email maana amekua akipendelea kuniita MPENZI,DARLING,BABY lkn mie simuiti hivyo ninapomuandikia ila nimekuwa najiuliza kama kuna kitu anamaanisha na hayo majina au tu ni kawaida maana hata wasichana sometimes wanaitana mpenzi,dear.
  Namuheshimu sana rafiki yangu huyu na huwa sipendi kumuwazia mabaya ndio maana naomba mnieleweshe ili niwe clear.

  lav you all.
   
 2. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  wewee naweeee..yani na ukubwa wako na ujanja wako hujui kuwa kuna midume MIDOMO GANZI...kusema haiwezi INAONGEA KWA ISHARA NA LUGHA YA PICHA...kwa taarifa yako huyo jamaa anakufeel kinoma sema anakuonea soo kuvunja ukimya...

  NDO MAANA WATU WA MAREKANI WAKALIONA HILO ....pia mie huwa sielewi mnaposema "namuheshimu sana".....ujue ukimuheshimu mtu sana ina maana upo tayari kumpa chochote atachohitaji....ndo maana mie huwa nawatongoza wale wote wanaosema wananiheshimu sana na huwa tunaishia kulana matunda ya miti yetu ya kati

  ....NI MAONI TUU

  lav you all.[/QUOTE]
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hana maana yeyote kama hajawahi kukuomba tunda! Mbona mimi huwa nawaita wapendwa wapenzi wangu waumini nikiwa sina dhamira ya kuwakwaza! Acha kujishuku.
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  :pop2::ranger::ranger::violin:
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  TAFAKARI..CHUKUA HATUA kwa hali ilivyo mimi naona huyo mshikaji anaku feel ameamua taratibu kuanza kuelezea hisia zake towards you kwa kuanza kukuita hivyo najua taratibu ataendelea mwishowe atavunja ukimya na mtazungumza mpe muda tu halafu uone
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Aug 27, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  ........du!
   
 7. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  [/QUOTE]
  hapo kwa blue uko sawa kabisa ila hiyo red mkuu, hadi damu imenicheza!
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mwanaume bwana atakutamani tuu hata kama mnajifanya marafiki ingawa atakuogopa au kukustahi kukutongoza lkn kichwani mwake ana omba siku imtokee umpe. Kama mi mwongo jaribu km unajilengesha hivi utaona jamaa pumzi zinavyomruka. Kuna jamaa tunafanya nae kazi hapa kwa ofisi yeye yupo close sana na wadada flani hivi wawili wa kitengo chetu. sometimes wanakwenda Mzalendo kucheza mziki, au pale Cinemax mlimani city, kwenye harusi sometimes utawakuta wote, au jioni wanapitia pale rose garden kula mbuzi, wapo so close na wale wadada wanaamini jamaa ni rafiki yao tu, lkn akiwa na sie wanaume wenzake haishi kusimulia jinsi jana yake mademu walivyokuwa wamevalia, na style gani atatumia kumbanjua kila mmoja wapo siku wakimpa hahaha na jamaa ana wife na watoto wawili kabisaaaaa. Mwanaume ni mwanaume tuu lazima anakutamani sana huyooo MPE UONE!!!
   
 9. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  hapo kwa blue uko sawa kabisa ila hiyo red mkuu, hadi damu imenicheza![/QUOTE]

  ahahahahaaa...kwann damu ikuchemke...thats what i do believe..maana nyie kina mama mwanaume mnayempenda huwa mnauficha upendo wenu nyuma ya pazia la "heshima"...so mie najua "UKINIHESHIMU'..means "UNANIPENDA NA KUNIZIMIKA MBAYAAA"...sema mmeumbwa kutongozwa...then I DO ZE NIDFULL
   
 10. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  katavi honestly sijui kwanini huwa ukitoa coments za kushangaa halafu nikitizama na avatar yako sijui kwa nini kicheko kinanijia.


  Premium Member [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]
  [​IMG]
  Join DateMon Aug
   
 11. D

  Dick JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Una miaka mingapi? tekeleza bila kuchelewa.:playball:
   
 12. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  nimekusoma mtumisi.
   
 13. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #13
  Aug 27, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  nitekelezeje?
   
 14. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #14
  Aug 27, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Kwa nini usimuulize mwenyewe?
   
 15. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #15
  Aug 27, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Zungumza na mwenzio. Ushauri huu umeletwa kwa hisani ya watu wa Marekani.
   
 16. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  [/QUOTE]

  sasa kama na mimi nam-feel nifanyeje ajue kuwa na mim nam-feel as anaona soo kusema yaliyoko moyoni mwake!(nauliza tu sio kuwa ndio nam-feel jamani,nataka tu kujua incase rafiki zangu inawatokea na wananiomba ushauri ila mim simfeel coz ni rafiki yangu wa kawaida).
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Aug 27, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hapo kaa mkao wa kuombwa tundi
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Aug 27, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Unajua JF ndio imenifanya hadi niwe hivi!
   
 19. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #19
  Aug 27, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Je amewahi kukuonyesha girl friend wake ? na kama unamfahamu mna mahusiano gani na G/F wake ...unaitwa wifi or ?
  Mie napata wazo huyo Kaka anakupenda lakini kutokana na heshima mnayopeana anashindwa kurusha ndoano.
   
 20. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #20
  Aug 27, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  ...sasa kama na mimi nam-feel nifanyeje ajue kuwa na mim nam-feel as anaona soo kusema yaliyoko moyoni mwake!(nauliza tu sio kuwa ndio nam-feel jamani,nataka tu kujua incase rafiki zangu inawatokea na wananiomba ushauri ila mim simfeel coz ni rafiki yangu wa kawaida).[/QUOTE]

  :confused2::confused2::confused2:
   
Loading...