Naombeni mbinu wakuu

Naombeni mbinu wakuu

Kosa la kwanza ulofanya kumtumia zawadi hapo umejenga njia ya mahusiano ya kitu na sio hisia.
Kabla hujatongoza jaribu kujenga nae urafiki usiwe na wivu nae na usimuweke akilini sana. Msalimie kila ukimuona mfano:- Maria hujambo umependeza. Halafu wewe tembea usisubiri jibu lake fanya hivyo kwa wiki 1. Halafu wiki ya pili msimamishe mwambie Maria kuna kitu nataka kukuuliza chukua namba yangu hii ukipata nafasi nipigie. Andika hio namba kwenye karatasi akipokea tu tembea usiongee zaidi.
Akija kukupigia muulize nani mwenzangu atasema Maria muulize maria yupi( hapa usiogope ukadhani atakuona player) atakwambia yule wa kariakoo. Hapo utajifanya ushamjua halafu mwambie nitakupigia in 20 minutes, kata simu baada ya 15 au 18 minutes mpigie usiongee nae sana. Msalimie halafu mwambie sauti yako upo tofauti na uzuri wako. Akikuuliza kwanini jifanye umeitwa na mzee halafu mwambie utampigia baadae. Usimpigie mpaka uonane nae siku ya pili uso kwa uso


Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Mimi

Mwezrahi
 
Mwanaume ana thamani sana kuliko Mwanamke. Kuwa mfalme na watumwa watakufuata. Never chase them,reject and ignore them! Kumbuka: Mwanamke hana thamani.
 
Wakuu mimi kijana, mtoto, mdogo wenu maji @ya Gundu nimependa tena,Ni miaka mitano imepita tangu niwe kwene mahusiano yale ya usirious kabisa

Na niliapa sitokuja kupenda tena baada ya kuumizwa na binti mmoja wa kinyakyusa jina lipo kwene mabano

Tuache hayo na tujikite sana kwene hili nnaloenda kuliwasilisha saa hii. Kuna binti mmoja hivi wa kihehe ametokea kunichanganya akili sana amenirudisha kwene ulimwengu wa kupenda,nimejikuta nampenda sana afu sina sababu naombeni mnisaidie mbinu ya kumpata maana mi kwa uwezo wangu naelekea kukata tamaa

Nimemfuata zaidi ya mara moja hata kunipa nafasi ya kuongea nae hanipi nikaona isiwe kesi nkaenda Kwa njia nyingine ya kumpelekea vizawadi bado ananitolea nje yaani inaonesha wazi ananichukia na mimi kiukweli nampenda sana

Ni hilo tu naombeni mnisaidie mbinu ili nimpate uyu binti





Sent using Jamii Forums mobile app
Demu anayekuzingua ukimtongoza achana naye, utakuja juta kwa nini umemtongoza, unakuta ana uchi mmbovu ndo maana anakutolea nje.
Mi nimegundua mwanamke ambaye sio mchoyo hata mashine yake nzuri, ila yule anayekukatalia bila sababu ujue ana shida. Achana naye

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom