Naombeni mbinu wakuu

Naombeni mbinu wakuu

Hapo ndo nakataa kukubali kabisa unampendaje mtu hata hujawahi kuongea nae, kupiga nae stor kujua jinsi anavyoongea
Mimi mpaka namtongoza mwanamke nakuwa sijampenda ila nimeona taswira yake tunaeza endana tukiingia ktk mahusiano ndipo moyo wa kumpenda unapojitokeza nikinaswa kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
huyo ni wewe na mimi ni Mimi tumetofautiana feelings

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niku dokezee kitu kijana mwenzangu

"mwanamke ili awe na mapenzi ya dhati kwako sharti akupende mwenyewe, au uwe na pesa za kutosha"

Tofauti na hapo utakua unatwanga maji, au kuichora namba 8 kwenye dimbwi la maji'

But keep on disturbing her, maana hawa viumbe wanapenda kusumbuliwa sana ukionesha userious katika hilo kwanza wanajikuta wanapata huruma flani hivii ya kike kike na kuanza kukulegezea kamba,

'Ila pia don't entertain show off to her'


Ni hayotu mkuu[emoji523][emoji524]

Sent using Jamii Forums mobile app
got you kanchibay ngoja nijaribu na nimpambanie minoti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri WA kidomo nzege bila Shaka wewe ni domo nzege

narudia tena mapenzi ya kweli hayahusishi pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe unapewa mbinu unaleta ujuaji. Ndio maana unarudishwa na vizawadi vyako.

Acha ubaya wewe tuma pesa. Wewe unadhani waliosema penye udhia penyeza rupia ni wajinga??

Halafu next time ukipewa ushauri ukikataa utanijua Mimi nani. Mwehu mmoja wewe.

Tuma pesa hizo
 
Kosa la kwanza ulofanya kumtumia zawadi hapo umejenga njia ya mahusiano ya kitu na sio hisia.
Kabla hujatongoza jaribu kujenga nae urafiki usiwe na wivu nae na usimuweke akilini sana. Msalimie kila ukimuona mfano:- Maria hujambo umependeza. Halafu wewe tembea usisubiri jibu lake fanya hivyo kwa wiki 1. Halafu wiki ya pili msimamishe mwambie Maria kuna kitu nataka kukuuliza chukua namba yangu hii ukipata nafasi nipigie. Andika hio namba kwenye karatasi akipokea tu tembea usiongee zaidi.
Akija kukupigia muulize nani mwenzangu atasema Maria muulize maria yupi( hapa usiogope ukadhani atakuona player) atakwambia yule wa kariakoo. Hapo utajifanya ushamjua halafu mwambie nitakupigia in 20 minutes, kata simu baada ya 15 au 18 minutes mpigie usiongee nae sana. Msalimie halafu mwambie sauti yako upo tofauti na uzuri wako. Akikuuliza kwanini jifanye umeitwa na mzee halafu mwambie utampigia baadae. Usimpigie mpaka uonane nae siku ya pili uso kwa uso


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
got you kanchibay ngoja nijaribu na nimpambanie minoti

Sent using Jamii Forums mobile app
Vizuri basi kwa kinielewa, ila we kazatu utampata,

maana sometimes ukute kuna incidence inayo mfanya anakua hivyo,,,

lamsingitu we usichimbue makaburi kujua niyapi yalijiri la maanatu endeleeni pale alipo ktk msimamo wake, mwisho utakuta anakubaritu maana kunawengine wanaanza kwa kukaza alaf wanakuja kuwa na strong love (''Love controlled") hadi wanahangaika zaidi yako hadi unashangaa mwenyewe√√

Ukifanikiwa kumpata usikose kunipa updates mkuu lkn maana ni jambo very confidential kweli, maybe mwingine anaweza kujifunza kupitia wewe pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Penye uzia penyeza rupia wahenga watu wanaakili sana tumia hii toka kwa ma legend
 
Hapo ndo nakataa kukubali kabisa unampendaje mtu hata hujawahi kuongea nae, kupiga nae stor kujua jinsi anavyoongea
Mimi mpaka namtongoza mwanamke nakuwa sijampenda ila nimeona taswira yake tunaeza endana tukiingia ktk mahusiano ndipo moyo wa kumpenda unapojitokeza nikinaswa kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe bado hujajua penzi linavokua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hayanaga formular aya baba
Kosa la kwanza ulofanya kumtumia zawadi hapo umejenga njia ya mahusiano ya kitu na sio hisia.
Kabla hujatongoza jaribu kujenga nae urafiki usiwe na wivu nae na usimuweke akilini sana. Msalimie kila ukimuona mfano:- Maria hujambo umependeza. Halafu wewe tembea usisubiri jibu lake fanya hivyo kwa wiki 1. Halafu wiki ya pili msimamishe mwambie Maria kuna kitu nataka kukuuliza chukua namba yangu hii ukipata nafasi nipigie. Andika hio namba kwenye karatasi akipokea tu tembea usiongee zaidi.
Akija kukupigia muulize nani mwenzangu atasema Maria muulize maria yupi( hapa usiogope ukadhani atakuona player) atakwambia yule wa kariakoo. Hapo utajifanya ushamjua halafu mwambie nitakupigia in 20 minutes, kata simu baada ya 15 au 18 minutes mpigie usiongee nae sana. Msalimie halafu mwambie sauti yako upo tofauti na uzuri wako. Akikuuliza kwanini jifanye umeitwa na mzee halafu mwambie utampigia baadae. Usimpigie mpaka uonane nae siku ya pili uso kwa uso


Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu mimi kijana, mtoto, mdogo wenu maji @ya Gundu nimependa tena,Ni miaka mitano imepita tangu niwe kwene mahusiano yale ya usirious kabisa

Na niliapa sitokuja kupenda tena baada ya kuumizwa na binti mmoja wa kinyakyusa jina lipo kwene mabano

Tuache hayo na tujikite sana kwene hili nnaloenda kuliwasilisha saa hii. Kuna binti mmoja hivi wa kihehe ametokea kunichanganya akili sana amenirudisha kwene ulimwengu wa kupenda,nimejikuta nampenda sana afu sina sababu naombeni mnisaidie mbinu ya kumpata maana mi kwa uwezo wangu naelekea kukata tamaa

Nimemfuata zaidi ya mara moja hata kunipa nafasi ya kuongea nae hanipi nikaona isiwe kesi nkaenda Kwa njia nyingine ya kumpelekea vizawadi bado ananitolea nje yaani inaonesha wazi ananichukia na mimi kiukweli nampenda sana

Ni hilo tu naombeni mnisaidie mbinu ili nimpate uyu binti





Sent using Jamii Forums mobile app
Si lazima kila unacho kipenda ukipate kwakua mapenzi mbali na ushawishi ni tendo la iman na moyo kulidhika inawezekana umependa mahali ambapo napo pamependa sehemu nyingine............yamungu ni mengi piga maombi utapata wa kuendana nae
 
Niku dokezee kitu kijana mwenzangu

"mwanamke ili awe na mapenzi ya dhati kwako sharti akupende mwenyewe, au uwe na pesa za kutosha"

Tofauti na hapo utakua unatwanga maji, au kuichora namba 8 kwenye dimbwi la maji'

But keep on disturbing her, maana hawa viumbe wanapenda kusumbuliwa sana ukionesha userious katika hilo kwanza wanajikuta wanapata huruma flani hivii ya kike kike na kuanza kukulegezea kamba,

'Ila pia don't entertain show off to her'


Ni hayotu mkuu[emoji523][emoji524]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli mkuu
 
Wakuu mimi kijana, mtoto, mdogo wenu maji @ya Gundu nimependa tena,Ni miaka mitano imepita tangu niwe kwene mahusiano yale ya usirious kabisa

Na niliapa sitokuja kupenda tena baada ya kuumizwa na binti mmoja wa kinyakyusa jina lipo kwene mabano

Tuache hayo na tujikite sana kwene hili nnaloenda kuliwasilisha saa hii. Kuna binti mmoja hivi wa kihehe ametokea kunichanganya akili sana amenirudisha kwene ulimwengu wa kupenda,nimejikuta nampenda sana afu sina sababu naombeni mnisaidie mbinu ya kumpata maana mi kwa uwezo wangu naelekea kukata tamaa

Nimemfuata zaidi ya mara moja hata kunipa nafasi ya kuongea nae hanipi nikaona isiwe kesi nkaenda Kwa njia nyingine ya kumpelekea vizawadi bado ananitolea nje yaani inaonesha wazi ananichukia na mimi kiukweli nampenda sana

Ni hilo tu naombeni mnisaidie mbinu ili nimpate uyu binti





Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema ni binti wa kihehe apo mtaani kwenu mbwa wapo ? Chinja mmoja kisha most fresh weka na supu imoto mpe mtoto promiss hachomoki nakwambia akichomoka uhehe kadandia uyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom