Naombeni Mawazo yenu...

Naombeni Mawazo yenu...

Ivi kama una girlfriend and only she wants is ur time not ur money..... Just to show how u love and care ni ngumu sana kumuonyesha mpenzi wako.....yani mnaishi kama mnaibia kitu mnapendana bt upendo unaonyesha upande mmoja kutoka kwa msichana......though unajua unapendwa kwa ku assume bt vitendo ni hafifu....au in short way unaweza kuwa busy kiasi cha kukosa muda wa kumpigia mpenzi wako au kumtext na kumwambia meneno mazur ya kuonyesha jinsi gan unapenda????
unavyompenda?....kwa mlio macho naombe comment zenu nimekosa usingiz kabisaaa
Lala tu best,mapenzi ni kujiongeza,ushauri wa watu haucount
 
Mapenzi huwa ayaumizi MTU bt Huleta furaha daaah that fact, nlikuw n mpnz wng kila sku stress mim yey ana one Sawa tuuuh, jaman pole dada, nakushauli uachane nae cz hanakupotezea muda
 
Umefanikiwa kupata usingizi...!??

Pole sana.
 
Pole Dada...!
Mapenzi huwa hayalingani hata siku moja, Lazima kuna mmoja hupenda zaidi kuliko mwingine.
Bahati mbaya inakuja pale tofauti ya upendo wenu inapokuwa kubwa sana, ndivyo mmoja huumia sana.

Simply, mapenzi sio kusema nakupenda, mapenzi hujionesha wazi yenyewe,
Ukiona mapenzi yanakuumiza, ni wazi kuwa hupendwi,
mapenzi huwa hayaumizi mtu, mapenzi huleta raha.
Asante kwa kushauri....hata mm nachojua mapenzi huleta furaha...bt kwangu ni hasira,stress na kukosa furaha..yani Ila nimelala vizur and nimeamka slama asante wote kwa ushauri
 
Pole sana ' jitahid ujipende mwenyewe ayo mengine yaache yapite
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom