Naombeni Masada Jinsi Ya Ku Root Simu Yangu FERO aula a4502

Screenshot_20170722-180612.png
Nilidownload KING ROOT Nikita's Kuistall Inaandika Hivyo..
 
Unaweza kunipa detail zaidi please Coz nilidownload KING ROOT lakini it doesn't work.. Na ndio the first time nataka kuiroot simu yangu..

Tafuta king root apk kupitia google kisha install katika simu yako, ikimaliza weka kifurushi washa data iruhusu ianze kazi ya kuroot. Hadi ifike 100%
 
Sasa wewe komaa. Labda isiwe SONY
Mshkaji unazingua na kukera balaa mbona unajiona much know hivyo. Acha upumbavu watu wanapokuwa na shida. Nmeroot simu mbili Alcatel 5023F na Sony xperia Z4 zote zimepoteza IMEI naanza kuulizia Sony maana ndo naihitaji sana wakat huu then ntaulizia Alcatel. Unaposema kopi unamaana hata Alcatel ni kopi?. Unajua Alcatel nayoizungumzia ni ya voda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom