Naombeni Masada Jinsi Ya Ku Root Simu Yangu FERO aula a4502

Mshkaji unazingua na kukera balaa mbona unajiona much know hivyo. Acha upumbavu watu wanapokuwa na shida. Nmeroot simu mbili Alcatel 5023F na Sony xperia Z4 zote zimepoteza IMEI naanza kuulizia Sony maana ndo naihitaji sana wakat huu then ntaulizia Alcatel. Unaposema kopi unamaana hata Alcatel ni kopi?. Unajua Alcatel nayoizungumzia ni ya voda?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kutukana sio suruhisho bora uwe mpole tu, ulitakiwa usome, madhara ya kuroot simu. Mimi naona umekurupuka tu kuroot bila kujua athari yake. Unaona kila simu ni ya kuroot ovyo tu.
 
Ishu sio kuroot hapa,.hapa ishu ni imei wewe unakuja na hoja ya kopi!. Mbona kuna wanaojua wamenieleza niinstal MTK itarudisha imei?
Kama hujui inakausha sio kuongea ujinga unaokera. By the way simu ni zangu nmenunua kwa hela yangu iweje wewe useme nmekurupuka?. Nliroot for my own risk coz nlinunua kwa my own money.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshkaji unazingua na kukera balaa mbona unajiona much know hivyo. Acha upumbavu watu wanapokuwa na shida. Nmeroot simu mbili Alcatel 5023F na Sony xperia Z4 zote zimepoteza IMEI naanza kuulizia Sony maana ndo naihitaji sana wakat huu then ntaulizia Alcatel. Unaposema kopi unamaana hata Alcatel ni kopi?. Unajua Alcatel nayoizungumzia ni ya voda?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mara ume restore mara umeroot hueleweki mkuu.
 
Ishu sio kuroot hapa,.hapa ishu ni imei wewe unakuja na hoja ya kopi!. Mbona kuna wanaojua wamenieleza niinstal MTK itarudisha imei?
Kama hujui inakausha sio kuongea ujinga unaokera. By the way simu ni zangu nmenunua kwa hela yangu iweje wewe useme nmekurupuka?. Nliroot for my own risk coz nlinunua kwa my own money.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama umefanya for your own risk, basi acha kutuuuliza ujinga.
 
Mkuu unasumbuka tu, MTK inafanya kazi kwenye simu ya MTK pekee, na hizo sony si MTK, waulize vizuri waliokwambia, na kama itakubali hiyo MTK, basi simu yako ni copyright[emoji38][emoji38]
 
Kama umefanya for your own risk, basi acha kutuuuliza ujinga.
Kuna watu washanijibu...wewe hujui that's all acha kuparamia hovyo. Hujui unakaa kimya watajibu wanaojua na wameshajibu ndo nayafanyia kaz mawazo yao sio wewe mpumbavu. Tuliza mshono huo wa uzazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja hapa ni kopi kwa simu ulioileta hayo mengine unayajua wewe. Au unaumia kusikia Sony? Ndio ishakuwa hivyo,.na zitarudi IMEI iwe kwa MTK au vinginevyo itarudi tu wewe kausha

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahahaa mimi niko na apple mkuu. Niumie kisa nini sasa? Sony sio mtk, huwezi kurudisha IMEI kwa MTK ENG kwenye sony.
 
Back
Top Bottom