Naomba kujuzwa namna ya ku-root simu

Wakuu wataalamu mlobobea mambo ya simu, naomba kufahamu namba ya kuroot simu natumia REDMI A2+ nimejaribu kutumia root master ila imeshindikana.
Simu nyingi siku hizi unaroot kwa kutumia magisk una patch stock boot image ya simu husika ukisha unaflash kwa kutumia flashtool ya simu husika au cmd

How to Root Xiaomi Mi A2/A2 Lite using Magisk (Without TWRP)
 
Poa nijaribu, faida na hasara za kuroot mkuu pls
 
Unataka kuroot bila kujua unafanya nini baada ya kuroot, so hujui faida na hasara za kuroot, huyo jamaa njia alokupa hapo juu sio nzuri ikiwa mambo yataenda ndivyo sivyo, we pambana utumie TWRP by any means, na kabla hujafanya mengi hakikisha una recovery ROM, ili ukii soft brick uweze kuichomoa bila kwenda kwa fundi.
Ila ukiwa makini huwezi kosea, sema kwenye TWRP hakikisha unapata inayoendana na simu yako kabisa.
 
Mwishoe kidogo nisahau kwa simu za Xiaomi kuroot sio kazi, kazi ni ku unlock Bootloader hapo ndo upambanie kwanza.
 
Unataka kuroot bila kujua unafanya nini baada ya kuroot, so hujui faida na hasara za kuroot, huyo jamaa njia alokupa hapo juu sio nzuri ikiwa mambo yataenda ndivyo sivyo, we pambana utumie TWRP by any means, na kabla hujafanya mengi hakikisha una recovery ROM, ili ukii soft brick uweze kuichomoa bila kwenda kwa fundi.
Ila ukiwa makini huwezi kosea, sema kwenye TWRP hakikisha unapata inayoendana na simu yako kabisa.
Sio simu zote unweza kuroot kwa TWRP, muelekeze basi yeye anahitaji msaada.
 
Unataka kuroot bila kujua unafanya nini baada ya kuroot, so hujui faida na hasara za kuroot, huyo jamaa njia alokupa hapo juu sio nzuri ikiwa mambo yataenda ndivyo sivyo, we pambana utumie TWRP by any means, na kabla hujafanya mengi hakikisha una recovery ROM, ili ukii soft brick uweze kuichomoa bila kwenda kwa fundi.
Ila ukiwa makini huwezi kosea, sema kwenye TWRP hakikisha unapata inayoendana na simu yako kabisa.
Mkuu ndo maana naweka hadharan nisaidiwe sio wote tunakuwa wataalamu., Na kuuliza sio ujinga.
 
Utauwa simu nilishafanya root nikaitumia kama wiki mbili ikazima moja kwa moja
 
Back
Top Bottom