Unaweza kunipa detail zaidi please Coz nilidownload KING ROOT lakini it doesn't work.. Na ndio the first time nataka kuiroot simu yangu..
View attachment 548188 Nilidownload KING ROOT Nikita's Kuistall Inaandika Hivyo..
Nitakupa Mrejesho Mkuu..
Jaman mi naomba msaada jinsi ya kurudisha IMEI namba zimepotea baada ya kurestore simu yangu aina ya SONY XPERIA Z4
Sent using Jamii Forums mobile app
Aya ni kopi unanisaidiaje sasa?.Itakuwa copy hiyo, sony orginal hazipotezi ovyo.
Hivi ukinyamaza kama hujui itakugharim nini?Makosa ki sheria mkuu.
Nenda kwa dealers wa hiyo simuJaman mi naomba msaada jinsi ya kurudisha IMEI namba zimepotea baada ya kurestore simu yangu aina ya SONY XPERIA Z4
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana japo warrant si imekufa baada ya uchakachuaji huu uliopelekea kupoteza imei au?Nenda kwa dealers wa hiyo simu
Hivi ukinyamaza kama hujui itakugharim nini?
Kopi si zilishafungwa au wewe hujui? Acha kujifanya mjuaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshkaji unazingua na kukera balaa mbona unajiona much know hivyo. Acha upumbavu watu wanapokuwa na shida. Nmeroot simu mbili Alcatel 5023F na Sony xperia Z4 zote zimepoteza IMEI naanza kuulizia Sony maana ndo naihitaji sana wakat huu then ntaulizia Alcatel. Unaposema kopi unamaana hata Alcatel ni kopi?. Unajua Alcatel nayoizungumzia ni ya voda?Sasa wewe komaa. Labda isiwe SONY