elishababuh
Member
- Oct 6, 2014
- 30
- 0
Facebook is for the birds.
Ooooh yeah. ....
Hivi demu wako hataki ujiunge na FB ukakubali kutokujiunga nayo mwisho wa siku uko na msela wako ambaye yupo Facebook na unajua ameoa anakuambia kuna demu ambaye anatafuta mwanaume, unamwambia utakikumjua lakini anakulazimisha kumwona unakuta ni demu wako je ungefanyaje kama ni wewe?
Please jibuni kwa makini
Wadau wa JF naomba maoni kwa hili, umemtongoza demu akakubali poa lakini ulikuwa unataka kupita naye tu akakuuliza jina ukamdanganya kwenu pia ukamdanganya halafu mwisho wa siku upo home umekaa unasikia geti linagongwa mama yako anaenda kufungua anakutana na mwanamke anamuulizia mtu kwa jina lile ulilo mdanganya sauti unaijua mama anasema hamjui lakini anatoa mwonekano wako wote na mama yako anasema mbona huyo ni fulani na sio jina hilo unalosema anakuita kwa jina lako kamili wewe ungemfanyaje?
Acha hasira man wanaume hawawi hvyo
Naona leo ni Scenario hapa...
Hivi demu wako hataki ujiunge na FB ukakubali kutokujiunga nayo mwisho wa siku uko na msela wako ambaye yupo Facebook na unajua ameoa anakuambia kuna demu ambaye anatafuta mwanaume, unamwambia utakikumjua lakini anakulazimisha kumwona unakuta ni demu wako je ungefanyaje kama ni wewe?
Please jibuni kwa makini
Way back facebook ulazwe mahala pema peponi