naombeni maoni yenu katika hili

afrique

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
509
135
hivi utamuelewa vp mpnz wako endapo amekuta msg za mapenzi ulizokuwa unachat na mtg mwingine na hakuulizi kabisa na umemuona akizisoma
 
wasiwasi wa nini?
labda ana take time kukuuliza
we jipange kwa majibu
 
hivi utamuelewa vp mpnz wako endapo amekuta msg za mapenzi ulizokuwa unachat na mtg mwingine na hakuulizi kabisa na umemuona akizisoma

kitete!mi kila siku nawambia watu adhabu za kimya kimya mimi kama mwalimu nazipenda sana!unatamanije kujiongelesha?sa sijui unaanzaje hapo!
 
...Naye anafanya hicho hicho ambacho nawe unakifanya ila hujamgundua tu...Vinginevyo alistahili kabisa kuuliza kulikoni?

hivi utamuelewa vp mpnz wako endapo amekuta msg za mapenzi ulizokuwa unachat na mtg mwingine na hakuulizi kabisa na umemuona akizisoma
 
Ntamuelewa ni mtu anaye jiamini na hataki stresss!
 
kitete!mi kila siku
nawambia watu adhabu za kimya kimya mimi kama mwalimu nazipenda
sana!unatamanije kujiongelesha?sa sijui unaanzaje hapo!

yani we acha tu mara bby nataka kukwambiakitu,haya nambie anaishia kusema ujue nakupenda sana
 
hana shaka maana anajua na yeye atatafuata mpenzi mwingine, au anaye mpenzi mwingine......kwa hiyo hajitii presha
 
Back
Top Bottom