naombeni maoni yenu katika hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naombeni maoni yenu katika hili

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by afrique, Sep 3, 2012.

 1. afrique

  afrique JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 495
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hivi utamuelewa vp mpnz wako endapo amekuta msg za mapenzi ulizokuwa unachat na mtg mwingine na hakuulizi kabisa na umemuona akizisoma
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  wasiwasi wa nini?
  labda ana take time kukuuliza
  we jipange kwa majibu
   
 3. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Nitamuelewa ni mtu smart sana; kwani hapotezi nguvu kuuliza the obvious.
   
 4. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Huyu atakuwa anatafuta 'gia' ya kutokea..
  Ni issue ya muda tu utaona majibu yake...
  Watch out...
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Sio lazima iwe hivyo
  wengine hutumia 'kukaa kimya kama adhabu'
  ili u feel guilty na ili akunyime nafasi ya wewe kudanganya au kuomba msamaha uji feel better...
   
 6. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  kitete!mi kila siku nawambia watu adhabu za kimya kimya mimi kama mwalimu nazipenda sana!unatamanije kujiongelesha?sa sijui unaanzaje hapo!
   
 7. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  una akili sana wwewe!yani huyo mtu aliyesomewa hizo sms hapo moja haikai mbili haisimami!
   
 8. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  mi scenario za aina hii huwa naziita NGUMU KUMEZA TAMU KUTEMA!
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  jua kuwa na wewe ni mpenzi wake mwingine sawa mkuu..
   
 10. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kama unaisikiaga 'killing me softly'...ndio hii!!
   
 11. NyotaMalaika

  NyotaMalaika Senior Member

  #11
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  subiri "la revancha".....
   
 12. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Inawezekana kua kakudharau...
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  jiandikie talaka
   
 14. dada white

  dada white JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mwizi huwa hamchomi moto mwizi mwenzie akimkamata.
   
 15. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Anajua na wewe siku moja utasoma sms zake
  Unyamaze kama alivyonyamaza yeye
  Wewe ulianza yeye atamalizia.
   
 16. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,886
  Likes Received: 83,368
  Trophy Points: 280
  ...Naye anafanya hicho hicho ambacho nawe unakifanya ila hujamgundua tu...Vinginevyo alistahili kabisa kuuliza kulikoni?

   
 17. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Ntamuelewa ni mtu anaye jiamini na hataki stresss!
   
 18. afrique

  afrique JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 495
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  yani we acha tu mara bby nataka kukwambiakitu,haya nambie anaishia kusema ujue nakupenda sana
   
 19. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,861
  Likes Received: 1,137
  Trophy Points: 280
  hili ndilo jibu sahihi mtoa mada, tufunge tu hii thread!
   
 20. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #20
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  hana shaka maana anajua na yeye atatafuata mpenzi mwingine, au anaye mpenzi mwingine......kwa hiyo hajitii presha
   
Loading...