Naombeni majibu ya hili swali?

Wababa13

Senior Member
Dec 27, 2017
105
70
Kuelekea kwenye interview za nafasi ya Afisa mtendaji wa kijiji/mtaa kuna uwezekano wa hili swali kuwepo 👇🏾
“Eleza ni njia gani utatumia ili kufanikisha zoezi la uhesabiji wa SENSA linalo endeshwa kijijini/mtaani kwako iwapo wananchi wameligomea?”
Wana jukwaa nasubiri majibu mazuri toka kwenu.
 
Attachments

  • IMG-20220605-WA0000.jpg
    IMG-20220605-WA0000.jpg
    16.4 KB · Views: 27
Wananchi hawawezi gomea zoezi la sensa, this question is totally impossible. Vijana acheni mawenge na mihemko ya kipuuzi interviewers hawawezi uliza huu uharo wanauliza maswali applicable.
 
Wananchi hawawezi gomea zoezi la sensa, this question is totally impossible. Vijana acheni mawenge na mihemko ya kipuuzi interviewers hawawezi uliza huu uharo wanauliza maswali applicable.

Mkuu nakuunga mkono hch ktu hakipo wanadhani ni mitihan ya O level nn
 
Back
Top Bottom