Naombeni kura zenu

hapa umepata mwaya usijali lakini hizo kura zitapigwa lini ili tujiandae
 
Mungi piga kura bana, hiyo makitu ingine wacha bana

Nitapiga kura kabla ya deadline...........................kwasasa bado naangalia roho yangu itamdondokea nani kati ya wagombea
 
Nitapiga kura kabla ya deadline...........................kwasasa bado naangalia roho yangu itamdondokea nani kati ya wagombea
Wacha mawazo bana Mungi, BE A GENTLEMAN AND VOTE FOR Arabela
 
Last edited by a moderator:
Baba V na Arabela nendeni mkachungulie kwenye thread ile ingine mkacheki nilivyopiga kura.....utajua nimemfeva my wife wako Arabela

mpendwa wangu Mungi ahsante roho ilikuwa yaniripuka nlijua ntaikosa kura yako
 
Last edited by a moderator:
mpendwa wangu Mungi ahsante roho ilikuwa yaniripuka nlijua ntaikosa kura yako

Tokea nilipo comment kuuliza kama umeachika ilitakiwa ujue unapata kura yangu
 
Haijalishi kuwa we ni contestant mwenzangu, kura yangu kwako ndo mpango mzima......and You already have it my Arabela!
 
Last edited by a moderator:
Haijalishi kuwa we ni contestant mwenzangu, kura yangu kwako ndo mpango mzima......and You already have it my Arabela!

yeah my dia i knew it.. Dont know how am i going to thank you enough
 
Last edited by a moderator:
Kwani uchaguzi lini? napenda kuwa wa mwisho kupiga kura.

Arabela nakukabidhi kura yangu. nigongee like fasta.
 
Kwani uchaguzi lini? napenda kuwa wa mwisho kupiga kura.

Arabela nakukabidhi kura yangu. nigongee like fasta.

Hivi Asprin utaratibu wa gines na nyagi ukoje leo make nina mning'inio wa kudanja m2.
 
Last edited by a moderator:
Kwani uchaguzi lini? napenda kuwa wa mwisho kupiga kura.

Arabela nakukabidhi kura yangu. nigongee like fasta.

ahsante sana mkuu.. Nipigie basi vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…