Naombeni kura zenu

hapa umepata mwaya usijali lakini hizo kura zitapigwa lini ili tujiandae
 
Haijalishi kuwa we ni contestant mwenzangu, kura yangu kwako ndo mpango mzima......and You already have it my Arabela!
 
Last edited by a moderator:
Haijalishi kuwa we ni contestant mwenzangu, kura yangu kwako ndo mpango mzima......and You already have it my Arabela!

yeah my dia i knew it.. Dont know how am i going to thank you enough
 
Last edited by a moderator:
Kwani uchaguzi lini? napenda kuwa wa mwisho kupiga kura.

Arabela nakukabidhi kura yangu. nigongee like fasta.
 
Kwani uchaguzi lini? napenda kuwa wa mwisho kupiga kura.

Arabela nakukabidhi kura yangu. nigongee like fasta.

Hivi Asprin utaratibu wa gines na nyagi ukoje leo make nina mning'inio wa kudanja m2.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom